Kinka Computer
05/04/2026
🌅✨ Hayupo tena kaburini, Amefufuka! ✨🌅
Kinka Pc tunaungana na Wakristo wote kusherehekea neema na ushindi wa kufufuka kwa Yesu Kristo katika Sikukuu ya Pasaka.
Katika kipindi hiki cha tumaini jipya, tunawatakia wateja wetu na familia zenu:
🤍 Amani ya kweli
🤍 Upendo wa dhati
🤍 Mafanikio mapya
Asanteni kwa kuendelea kutuamini na kutuchagua. Tutaendelea kuwahudumia kwa uaminifu na ubora wa hali ya juu.
Heri ya Pasaka! 🙏✨
04/04/2026
K**a ilivyo desturi ya siku na tarehe k**a ya jana, huwa ni siku ya ukimya 🤫, tafakari 🕯️, na shukrani 🙏.
Tunapenda kukukaribisha kwenye duka letu ili tukuhudumie mteja wetu mpendwa 💖.
Hapa dukani kwetu, kuna bidhaa mbalimbali zinazokidhi mahitaji yako, k**a vile:
Kompyuta Mpya 💻
Hard Disk Original 💾
Mabango HD 🖼️ n.k.
Tunafuraha kukujulisha kuwa kesho na kesho kutwa tutakuwa na offa maalum ya punguzo la bei 💰, k**a shukrani na sadaka kwa wewe, mteja wetu wa thamani 🌟.
Pamoja tuko nawe, tena na tena 🤝✨
27/03/2026
Wahenga hawakukosea kusema:
"Hatua moja huanzisha hatua nyingine."
Tunakushukuru sana kwa kuturuhusu tuwe sehemu ya safari ya mafanikio yako 🙌
📌 Asante sana mteja wetu wa nguvu (...........) kutoka Nyawilimilwa kwa kutuamini na kununua kifaa chako 👏🔥
🖥 SPECIFICATIONS ZA KIFAA:
✅ CPU: HP
✅ Intel Core i5 – 3.10GHz
✅ RAM: 4GB
✅ Storage: 500GB
✅ SATA 4
💰 BEI: 199,000/= TU
Hupati pengine kwa bei hii zaidi ya hapa!
📍 KiNKA PC – Stand ya Kasota, Geita 👍
📞 0764 611 871
08/03/2026
💻 Kila kazi inakuwa rahisi na ya uhakika ukiwa na kifaa sahihi!
Tunakuletia HP Elite Desktop Computer Complete Set – bora kwa kazi za ofisini, biashara, masomo na matumizi ya nyumbani.
Specifications: ✔ Processor: Intel Core i5
✔ RAM: 8GB
✔ Hard Disk: 1TB
✔ Monitor: 24" Wide Screen
✔ Keyboard & Mouse
🎁 Zawadi: Flash Disk 32GB BURE
💰 Bei Maalum: Tsh 500,000/= tu
Anza wiki mpya na kifaa kipya chenye nguvu na uhakika wa kazi!
📍 Mahali: Kinka Movies Stand ya Kasota Geita
call 🤙 0764611871
Karibu sana – tunakuhudumia kwa furaha.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Kinka Movies Bugulula
Geita
2022
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 21:00 |
| Tuesday | 08:00 - 21:00 |
| Wednesday | 09:00 - 21:00 |
| Thursday | 08:00 - 21:00 |
| Friday | 08:00 - 21:00 |
| Sunday | 10:00 - 16:00 |
13/04/2026