Habari Daily Blog.
05/02/2016
Woman crashes her own funeral, horrifying her husband, who had paid to have her killed
A woman named Noela Rukundo, gave her ex-husband, Balenga Kalala, (both pictured above) the shock of his life by turning up to her own funeral, after he had contacted hitmen to have her killed while they were still married.
Rukundo had met her husband 11 years earlier, right after she arrived in…
05/02/2016
Hakuna Kuandamana: Maandamano ya CHADEMA Kesho Kuelekea Ikulu Yapigwa Marufuku
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika hapo kesho na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kuelekea Ikulu jijini Dar es salaam kushinikiza kurejeshwa kwa matangazo ya moja kwa moja ya Bunge.
Akizungumza leo jijini Dar es salaam, Kamanda…
05/02/2016
Breaking News: Polisi Dar Yakamata Magari 2 Yaliyotumika Kubeba Kompyuta Zilizoibwa Kwenye ofisi ya Aliyekuwa Kamishna Mkuu wa TRA, Philip Mpango. Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata magari mawili yakihusishwa na wizi katika ofisi ya kamshina mkuu wa TRA huku yakiwa na vifaa vilivyoibiwa katika ofisi hiyo vikiwa ni pamoja na komputa na TV. Katika mkutano wake na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam…
05/02/2016
Mawaziri wa awamu ya Tatu, Basil Mramba na Daniel Yona sasa kutumikia kifungo cha nje
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeridhia waliokuwa Mawaziri wastaafu Basil Mramba na Daniel Yona kutumikia adhabu ya kifungo cha nje kwa kufanya usafi katika maeneo ya kijamii ikiwemo Hospitali ya Sinza Palestina.
Hatua hiyo inatokana na Mramba ambaye alikuwa Waziri wa Fedha na Yona aliyekuwa…
Click here to claim your Sponsored Listing.
Telephone
Website
Address
Dodoma