Infinity Real Estate Dodoma
27/05/2026
**Eid Mubarak!** Siku hii maalum na ikulete karibu na familia yako na marafiki, na moyo wako ujazwe na upendo na shukran.
Tunawatakia wateja wetu wote sikukuu njema yenye baraka na mafanikio. Asanteni kwa kutuamini!
20/05/2026
VIWANJA VINAUZWA NZUGUNI DD -DODOMA
▶️SIFA ZA VIWANJA
▫️Viwanja vina Hati
▫️Ukubwa wa Sqm 450-600
▫️Maji, Umeme upo
▫️Vinafaa kwa Biashara/Makazi( Hotel, LODGE au Apartment)
▫️Barabara zinafikika mpaka site
▫️Vipo karibu na Njedengwa investment area
▫️pia Kipo karibu na barabara kuu iendayo Dar es salaam
▫️Ni eneo zuri kwa uwekezaji
Kwa mawasiliano: 0767865054 au 0655591155
Ofisi zetu zipo Barbara ya 9 jamal street nyuma ya makei house
13/05/2026
KIWANJA KIZURI KINAUZWA ILAZO
Sifa za Viwanja
▫️Kiwanja kinafaa kwa Makazi/Biashara(Apartment au Lodge
▫️Kuna barabara nzuri
▫️ukubwa wa sqm 450
▫️Maji, Umeme Vipo
▫️Kiwanja Kimepimwa Kina Hati
▫️Ilazo ipo Dar es salaam road
Wakati wa Kuwekeza ni sasa kwasababu Ardhi inapanda thamani kila siku.
Kwa mawasiliano: 0767865054 au 0655591155
Ofisi zetu zipo barabara ya 9 jamal street nyuma ya makei house
04/05/2026
Kila wiki mpya ni nafasi mpya ya kuwekeza kwenye ndoto zako.
Usiache kesho yako ibaki kuwa ndoto — miliki ardhi leo, linda maisha yako ya baadaye. 🏡✨
👉 Tunakuletea viwanja bora Dodoma vilivyopimwa, karibu na barabara kuu, na vyenye hati halali.
✅ Bei nafuu
✅ Malipo rahisi
✅ Maeneo mazuri ya makazi na biashara
📍 Location: Dodoma
📞 0767865054. | 0655591155
✨ Infinity Real Estate – Tunajenga Thamani ya Kesho Yako!
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Address
P. O. Box 3522, Plot No. 15N Block 4, Jamal Street/Madukani
Dodoma
41000
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |
| Saturday | 09:00 - 17:00 |