Ets tech

Ets tech

Share

23/05/2026

Vibe juu ya Vibe...

Mteja tupe kazi tumalize kazi.

23/05/2026

Cctv Camera Installation ( 0655312158 || 0766312158)

Site Location:Mpamaa Dodoma

Tiandy IP 2 MP Cameras zimefungwa kwa ustadi wa hali ya juu...

Mteja anaweza fuatilia matukio ya nyumbani kwake kupitia simu yake akiwa popote pale duniani.

Hapa tunarahisisha maisha ya wateja wetu.

Tunapatikana Dodoma Ujiji Street Uhindini karibu na Jengo la Mkamba House au Kituo Cha Daladala Cha Paradise.

Mikoani tunafika na kutuma vifaa(devices) kwa uaminifu mkubwa.

Tupigie simu namba; 0655312158 || 0766312158

Karibuni sana

21/05/2026

Hikvision IP Video Intercomms

Uzuri wa hii kitu hata usipokuwa nyumbani unaweza pata ujumbe au simu mtu akigonga kengele kwako...na unaweza ongea naye ukiwa mbali pia...

tunarahisisha maisha

Tupigie kwa simu namba:0655312158 || 0766312158

Tunapatikana Dodoma Ujiji Street Uhindini karibu na Jengo la Mkamba House.

Mikoa yote tunafika.

Want your business to be the top-listed Computer & Electronics Service in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Dodoma

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00