Bed-Guco
Je mwaka 2015,ulifikia malengo asilimia ngapi%?
Naka huzifikia nn sababu(jiulize)
Mwaka 2016 una malengo gani?
Je una speed kiasi gani uliyo anza nayo kufikia malengo?
1A (i) ,Kwa wanachuo as a counselor nawashauri ku save money 💵 as much aa u can... Wajua unaweza kuanzisha mradi wowote unao weza kukuingizia fedha kidogo kwa ajili ya kukusaidia shida ndogo2 hapo chuoni?
Najua fedha mnazopewa ni kwaajili ya kujikimi na stationary but if u got smart uses u can have some little leftover
1A (ii).................... To be continued........
2 Kwa waajiriwa................
I will come to u
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the school
Telephone
Address
Box 523 Dodoma Tz
Dodoma