TAFES UDOM

TAFES UDOM

Share

Photos from TAFES UDOM's post 11/12/2021

Shalom. Naitwa Pastor Azariah Leonard, nichukue wasaa huu kukukaribisha tuabudu pamoja siku ya kesho jumapili.
Kwa wanafunzi wa Udom usafiri upo kwa college zote.
Muda na ratiba za ibada k**a zilivyoonyeshwa katika card za kanisa.
Pia kanisa kwa ushirikiano na chuo cha Reformation Bible College tunatoa mafunzo ya thiolojia na huduma kwa ngazi ya diploma na degree. Nicheki nikupe maelekezo zaidi. Jehovah akubariki sana.

Photos 06/11/2020

Ni December hii. Anza kujiandaa

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address


UDOM
Dodoma
0105