Kisedet

Kisedet

Share

Photos from Kisedet's post 20/05/2026

🇹🇿 Mradi wa SIE ni mradi wa Elimu jumuishi shuleni, unaofadhiliwa na 8x1000 Kanisa la Waldesian.
🌻
KISEDET huwasaidia watoto na vijana wenye ulemavu wakati wanasoma. Pia husaidia shule jumuishi wanapoishi.
🌻
Mradi huu ulianzishwa January 2026.
Tunawashukuru sana wafadhili wetu wa Kanisa la Waldesian, wanaoendelea kutuunga mkono ili tuboreshe maisha ya watoto wenye ulemavu katika shule jumuishi.

🇮🇹 Progetto SIE: educazione nelle scuole inclusive, supportato dall'08x1000 della Chiesa Valdese.
🌻
KISEDET supporta i bambini con disabilità che frequentano le scuole inclusive, supportando anche la scuola governativa che frequentano.
🌻
Il progetto è partito nel Gennaio di quest'anno. Ringraziamo la Chiesa Valdese che continua a stare al nostro fianco per migliorare le condizioni dei bambini con disabilità e aumentare la loro frequenza scolastica.

🇹🇿

Photos from Kisedet's post 02/04/2026

🇹🇿 Wachoraji wakiwa kazini! 🎨
Fabio na Francesco, vijana wawili kati ya wanne wa kujitolea kutoka , walikaribishwa KISEDET, walipokuwa wakileta uhai mpya wa michoro ya Kituo cha makao ya kutwa yaliyopo ndani ya makazi ya muda mfupi ya Shukurani. Pamoja nao ni baadhi ya wavulana kutoka kituo kinachoendeshwa na KISEDET. Jambo la kufurahisha: mmoja wa wavulana hawa mwenye kipaji cha kuchora, anasoma shule ya ufundi stadi hapa Dodoma. Fursa hizi huwawezesha vijana kujieleza ubora wao na kuungana na wenzao kutoka tamaduni mbalimbali.

🇮🇹 Pittori al lavoro! 🎨
Fabio e Francesco, due dei 4 civilisti di accolti a Kisedet, mentre ridanno vita ai disegni del Drop in centrerà, situato all’interno della casa accoglienza a breve termine Shukurani. Con loro alcuni ragazzi dei centri gestiti da Kisedet. Una curiosità: uno di questi ragazzi particolarmente portato per il disegno sta frequentando una scuola professionale d’arte a Dodoma. Queste occasioni danno la possibilità di esprimersi al meglio e di conoscersi tra ragazzi di culture diverse.

🇬🇧 Painters at work! 🎨
Fabio and Francesco, two of the four universal civil servants from , welcomed at Kisedet, as they revive the drawings of the Drop-in Center located within the Shukurani short-term shelter. With them are some of the boys from the centers run by Kisedet. Fun fact: one of these boys, particularly talented in drawing, is attending a vocational art school in Dodoma. These opportunities allow young people to express themselves and to connect with peers from different cultures.

07/03/2026

🇹🇿 Afisa ustawi wa Kisedet na Mwanasaikolojia, , akimsindikiza mtoto J. Katika ofisi ya Ustawi wa Jamii Dodoma, ili aunganishwe na familia yake. Baada ya familia kumpeleka mtoto kwa ndugu, mtoto alitoroka mitaani.

Ustawi walimwokoa na kumpeleka katika makao ya muda mfupi Shukurani.

Ukitaka kujua kazi yetu zaidi, ututembelee na utufollow katika mitandao ya kijamii.

🇮🇹 L'assistente sociale e psicologo di Kisedet, , mentre accompagna il bambino J. all'ufficio dei servizi sociali governativi di Dodoma, per ricongiungerlo alla sua famiglia.

Dopo che la famiglia aveva portato il bambino da un parente, il bambino è scappato ed ha iniziato a vivere per strada.

Gli assistenti sociali governativi lo hanno trovato salvato e portato a presso la casa d'accoglienza a breve termine Shukurani.

Se volete saperne di più sul nostro lavoro, seguiteci sui social media o veniteci a trovare.

🇬🇧 Kisedet Welfare Officer and Psychologist, , escorting J. to the Social Welfare office in Dodoma, to be reunited with his family. After the family took the child to a relative, the child run away and lived on the streets.

Social Welfare rescued him and took him to to the Shukurani short-term shelter.

If you want to know more about our work, visit us and follow us on social media.

Want your organization to be the top-listed Non Profit Organization in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Chinangali East
Dodoma
P.O.BOX379