World Shakers Assembly

World Shakers Assembly

Share

23/05/2026

Karibu Jumapili Hii! ✨
*Madhara ya Kutumia Mungu Mengine*
Neno lenye nguvu litakalofungua macho yako kiroho na kubadilisha mtazamo wa maisha yako.

KARIBU IBADANI SIKU YA JUMAPILI KUANZIA SAA 3 ASUBUHI
IKIWA UKO DODOMA FIKA KANISANI MAHALI NI CHANG'OMBE EXTENSION KARIBU NA SOKO LA MAVUNDE

Apostle David Mbembela
πŸ“ World Shakers Assembly
THE HOME OF GIANTS See less

19/05/2026

πŸ”₯ Karibu katika Masaa 48 ya kufunga na kuomba!
Jiunge nasi katika uwepo wa Mungu kwa maombi, maombezi, na nguvu ya kiroho.

Huu ni muda wa kuvunja vifungo, kufungua milango, na kuona mkono wa Mungu ukitenda.
NI tarehe 21–22 Mei (Alhamisi na Ijumaa)

πŸ“ World Shakers Assembly
The Home of Giants
Apostle David Mbembela

Photos from World Shakers Assembly's post 16/05/2026

Karibu kwenye ibada ya Jumapili yenye mguso wa kipekee, tukijifunza kuhusu
*β€œReward of Servanthood – Thawabu ya Utumishi.”*

Mungu ana kitu maalum kwa kila mtumishi mwaminifu. Usikose kuungana nasi saa 9:00 AM kwa ibada ya mabadiliko, neno, na uwepo wa Mungu.
Karibu sana!

WORLD SHAKERS ASSEMBLY
THE HOME OF GIANTS
Apostle David Mbembela

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Dodoma