AFYA kwanza

AFYA kwanza

Share

02/01/2023

MWAKA WA 2023 IKAWE MWAKA WA KHERI NA BARAKA KWA KILA MMOJA

05/11/2022

Call-0717547978

Bawasili ni ugonjwa unaowasumbua wengi Sana

Leo nataka uweze kufahamu vyanzo,dalili na madhara ya bawasili kwa jinsia zote

Kwa ushauri zaidi unaweza kufika ofisini kwetu.tunapatikana kigoma mjini jengo la crdb floor ya tatu,karibu na stesheni

Huduma zetu tunazitoa kwa Tanzania nzima.kwa ushauri zaidi tupigie
0717547978

26/10/2022

FENNEL FLOWER
haya NI mafuta ambayo yametengenezwa kwa mmea ujulikanao K**a nigella sativa ambao unapatikana katika mabara K**a Asia na ulaya
Huu NI mmea wa asili kabisa ambao mbegu zake pamoja na mafuta yake yameonesha tija katika kutatua matatizo mbali mbali ya kiafya.
Mafuta ya fennel flower(nigella sativa)yanaweza kutibu matatizo mengi kutokana na namna ya matumizi yanavoweza kuwa yakitumika
Yanaweza kutatua matatizo K**a
✓kisukari
✓pressure
✓tezi dume
✓bawasili
✓vidonda vya tumbo
✓maumivu ya viungo na misuli
✓mwili kufa ganzi
✓nguvu za kiume
✓matatizo ya hormoni imbalance
✓uvimbe kwenye kizazi
✓mimba kuharibika
✓kushindwa kupata ujauzito
✓matatizo ya pid nk.
Dr Ernest herbal therapy ni wataalamu kwa kutumia tiba mbadala na kwa Matumizi ya bidhaa hiyo imeweza kutoa matokeo mazuri kwa wagonjwa wetu
INAPATIKANA,kwa gharama ya shilingi 25,000/=
tunafanya free derivery TANZANIA NZIMA ili kuweza kufanikisha huduma zetu zinaweza kumsaidia kila mmoja.
TUPO,KIGOMA MJINI

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Majengo Sokoni
Dodoma