Jilinde na Kujikinga

Jilinde na Kujikinga

Share

30/08/2025

NIPO KUWAHUDUMIA

14/08/2025

Mama wa virutubisho nipo hapa kuwahudumia

15/05/2025

NIKO NA FURAHA SANA IMAGINE MTEJA WANGU AMECHUKUA PARKEJI YAKE YA UTI IMAGINE AMEPATA KUPONA NA NIKWAMBIE NAENDA KUSAIDIA WENGI SANA

12/09/2024

P.I.D NINI,DALILI ZAKE NI ZIPI, MADHARA YAKE NI YAPI?
P.I.D- Pelvic Inflammatory Disease.
P.I.D Ni maambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke ambayo huusisha maambukizi kwenye shingo ya kizazi(CERVICITIS),nyama kwenye mfumo wa wa uzazi(ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi(SALPINGITIS)
Kuna aina mbili ambayo ni chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa P.I.D ni NEISSERIA GONORNOAE na CHLAMYDIA TRACHOMATIC

WANAMKE ANAUPATAJE UGONJWA WA P.I.D
-Kupitia ngono zembe
-Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja
-Kufanya mapenzi bila kutumia kinga
-Kupitia magonjwa ya zinaa hususani kaswande na kisonono
-Kupitia kunyonywa ukeni mara kwa mara
-Utoaji wa mimba na kutosafishwa vizuri baada ya kutoa mimba
-Kuweka vitu ukeni ili kuufanye uke ubane au kumvutia mpenzi wako
-Kutumia dawa na njia za kuzuia mimba(vijiti na sindano)
- Kuwa na U.T.I. sugu au fungus ya muda mrefu

DALILI ZA P.I.D
-Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri yaweza ukawa njano, mweupe au maziwa
-Uke kutoa harufu mbaya
-Kuwashwa sehemu za siri
-Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
-Uke kuwa mlaini sana
-Maumivu wakati wa tendo la ndoa
-Kuvurugika kwa hedhi
-Kutokwa na maji maji ukeni kupita kiasi
-Maumivu wakati wa kukojoa
-Homa, uchovu na kizunguzungu

MADHARA YA P.I.D
-Maumivu ya tumbo au nyonga ya mara kwa mara mara baada ya tendo la ndoa. au kipindi cha upevushaji mayai hali hii hutokana na majeraha yaliyopi katika mirija ya uzazi
-Kusababisha majeraha ndani na nje ya mirija za uzazi ambayo hipelekea mirija kuziba
-Kubeba mimba nje ya kizazi husababishwa yai kushindwa kufika kwenywe mji wa uzazi kupitia mirija ya uzazi
-Ugumba kwa mwanamke
-kupata kansa ya shingo

Want your business to be the top-listed Business in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


DODOMA
Dodoma