efh.suplements_dodoma

efh.suplements_dodoma

Share

24/05/2026

*Matokeo baada ya kutumia bidhaa yangu ni haya;*

1. Maumivu na Kukaza kwa Maungio (Joint Pain and Stiffness)
​Hii ni changamoto kubwa inayowasumbua watu wengi, hasa asubuhi au baada ya kukaa muda mrefu. Inasababishwa na kupungua kwa uteute (synovial fluid) unaozuia mifupa kusuguana. Bidhaa yangu inasaidia kurudisha uteute huo na kuondoa kabisa maumivu.

​2. Kusagika kwa Sugu/Mifupa Laini (Osteoarthritis)
​Hali hii hutokea wakati cartilage (mifupa laini inayolinda maungio) inapoanza kulatika na kusagika. Hii huleta maumivu makali wakati wa kutembea au kusogeza viungo k**a magoti na nyonga. Bidhaa yangu inasaidia kurutubisha na kulinda mifupa hii laini isiendelee kusagika au kukatika.

​3. Kupungua kwa Uzito na Uimara wa Mifupa (Osteoporosis)
​Hali hii hufanya mifupa kuwa myepesi, na(rahisi kuvunjika) hata kwa jeraha dogo, mara nyingi kutokana na ukosefu wa madini ya kalsiamu (Calcium) na virutubisho vingine. Bidhaa yangu inasaidia kuongeza msongamano na uimara wa mifupa.

​4. Changamoto za Mgongo na Kiuno (Chronic Back and Waist Pain)
​Maumivu ya kiuno na mgongo yanayosababishwa na mishipa kukazana, mifupa ya uti wa mgongo kusuguana, au kupoteza uimara wa diski za mgongo. Bidhaa yangu inasaidia kupunguza uvimbe na kuimarisha misuli na mifupa inayoshikilia uti wa mgongo.

​5. Uvimbe na Moto Kwenye Maungio (Gout / Rheumatoid Arthritis)
​Hali ya maungio kuvimba, kuwa mekundu, na kuhisi moto mkali (mara nyingi kwenye vidole vya miguu, mikono, au magoti) kutokana na mkusanyiko wa tindikali (Uric Acid) au kinga ya mwili kushambulia maungio. Bidhaa yangu inasaidia kuondoa sumu na kupunguza uvimbe huo (anti-inflammatory properties.)

385,000/= tu.

Weka oder yako sasahivi.
0753769477.

20/05/2026

Mwanaume akishaowa mara nyingi hushuhudia mabadiliko makubwa ya maisha.

20/05/2026

Wanaumee.

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Kisasa Dodoma
Dodoma
BOX904