CityMax BookShop

CityMax BookShop

Share

06/03/2025

HIVI NDIVYO TULIVYO WASAIDIA WATU WENGI KUPATA MAFANIKIO MAKUBWA.

Naamini neno mafanikio siyo neno geni kwako na umeshajitamkia sana kuwa unahitaji kufikia mafanikio makubwa.... Lakini je, unajua siri ya kufikia mafanikio yako?
...Leo nakupa siri hii ambayo itakusaidia kufanikisha malengo na maono yako makubwa uliyonayo.

Siri hiyo ni *MAARIFA* , unapaswa kuwa na maarifa sahihi pamoja na usimamizi utakaokusaidia kujenga ujuzi na kuwa na mwendelezo wa kutafuta mafanikio unayoyahitaji.

Ili kupata mahitaji sahihi ya kufanikisha malengo yako Citymax bookshop Tanzania tuna vitabu vyenye maarifa sahihi ya kujenga uwezo wako, kubadili mtazamo wako, kujenga nidhamu ya fedha pamoja na kujenga fikra sahihi za mafanikio.

Naamini wewe ni mtu unayehitaji kufikia mafanikio makubwa na ili uweze kufanikisha hayo nakushauri uwasiliane nasi ili tukusaidie vitabu sahihi kulingana na eneo lako unalohitaji kufanikiwa.

UTAPATA FAIDA ZIFUATAZO;
1. Tutakushauri aina ya kitabu cha kusoma kulingana na eneo lako unalohitaji kufanikiwa.
2. Utapata huduma ya usimamizi ya usomaji wa vitabu kwa siku 100 hadi miaka mitatu.
3. Utapata usimamizi wa kuweka akiba kuanzia siku 100 hadi miaka mitatu.
4. Utapata ushauri na usimamizi wa biashara/kazi ili kupata mafanikio makubwa.

Tutakusaidia kupata vitabu vyote unavyohitaji vya waandishi wa ndani na nje ya Tanzania kwa lugha ya kiingereza na kiswahili.

Ili kupata manufaa haya wasiliana nasi kwa 0753690907 au 0755100502

Tunapatikana Dar es saalam, Dodoma na Iringa pia utaagiziwa popote ulipo Tanzania na nje ya nchi.

15/12/2024

SEMINA YA NGUVU YA MALENGO DODOMA MJINI TAREHE 21.12.2024 KATIKA UKUMBI WA CAVILAM HALL ULIOPO IRINGA ROAD.

14/12/2024

The power of subconscious mind kinapatikana citymax bookshop Tanzania

Want your business to be the top-listed Shop in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


321
Dodoma