Layers Pro

Layers Pro

Share

21/04/2026

Tanbro wamefikisha siku 14 Leo wastani wa uzito wao ni gram 286.13, uzito wa kawaida kwa kifaranga wa siku 14 ni gram 204 [narejea performance chart ya sasso- tunaitumia kwa chotara wote]

Mpaka siku 14 vifaranga wote wamekula chakula kilo 115.8 maana yake ulaji wa chakula Uko vizuri

Nitaweka clip ya Hawa vifaranga kwenye comment unaweza kuitazama hapo.

Vifaranga hawa tumewachanganyia chakula kuanzia siku 1 kwa kutumia hii formula, tuliwachanganyia chakula kilo 300 👇

Mahindi paraza kilo 156
Soya kavu kilo 96
Mashudu ya alizeti kilo 27
Mafuta kilo 6 [tumia alizeti, korie etc]
CFP ya vifaranga kilo 15

Jumla kilo 300

K**a unahitaji CFP tafadhali wasiliana nasi, CFP kwasasa zinapatikana hapa

1.Dodoma, Majengo Sokoni pembeni ya CRDB MAJENGO

Mawasiliano 𝟎𝟕𝟓𝟐𝟗𝟏𝟐𝟏𝟑𝟐 𝐚𝐮 𝟎𝟕𝟏𝟖 𝟏𝟗𝟐 𝟑𝟕𝟖

2.Dar es salaam, Ubungo

Mawasiliano 𝟬𝟳𝟭𝟱𝟲𝟲𝟬𝟳𝟳𝟭

3.Iringa mjini

Mawasiliano 𝟎𝟕𝟔𝟑 𝟗𝟑𝟕 𝟎𝟑𝟕

4.Arusha mjini

Mawasiliano 𝟎𝟕𝟗𝟎 𝟕𝟗𝟗 𝟕𝟔𝟔

16/01/2026

Leo vifaranga wetu wamefikisha siku ya 14 🔥 🔥 🔥

Gharama ya chakula kilo 100 tulitumia : 𝟏𝟒𝟔,𝟎𝟎𝟎

Formula tunayotumia 👇🏽👇🏽

𝟭.𝗠𝗮𝗵𝗶𝗻𝗱𝗶 𝗽𝗮𝗿𝗮𝘇𝗮 𝗸𝗶𝗹𝗼 𝟱𝟮
𝟮.𝗦𝗼𝘆𝗮 𝗸𝗮𝘃𝘂 𝗸𝗶𝗹𝗼 𝟯𝟮
𝟯.𝗠𝗮𝘀𝗵𝘂𝗱𝘂 𝘆𝗮 𝗮𝗹𝗶𝘇𝗲𝘁𝗶 𝗸𝗶𝗹𝗼 𝟵
𝟰.𝗢𝗶𝗹/𝗠𝗮𝗳𝘂𝘁𝗮 𝗸𝗶𝗹𝗼 𝟮
𝟱.𝗖𝗙𝗣 𝘆𝗮 𝘃𝗶𝗳𝗮𝗿𝗮𝗻𝗴𝗮 𝗸𝗶𝗹𝗼 𝟱

𝗝𝘂𝗺𝗹𝗮 𝗸𝗶𝗹𝗼 𝟭𝟬𝟬

1.Ulaji wa chakula / Feed intake - Uko vizuri...mpaka leo siku 14 wameshakula kilo 47 sawa gram 480 kwa kila kifaranga

2.Uzito / Body weight gain - wanaongezeka vizuri, daily gain ni above average -

Wastani wao ni gram 387.75
Uzito wa juu gram 474

Kwa uzoefu wetu vifaranga wa chotara siku 14 wakiwa na uzito wa juu ni gram 335 tulipokuwa tunatumia chakula cha dukani

3.Matatizo ya miguu / Leg problems-Hakuna

4.Choo Cha kuku / faecal dropping- Normal/Kawaida - angalia maranda utaona choo choo kikoje

5.Cannibalism/ Kudonoana -Hakuna

𝐊𝐚𝐦𝐚 𝐮𝐥𝐢𝐩𝐨 𝐬𝐨𝐲𝐚 𝐡𝐚𝐢𝐩𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚𝐧𝐢 𝐤𝐢𝐫𝐚𝐡𝐢𝐬𝐢, 𝐮𝐬𝐢𝐨𝐠𝐨𝐩𝐞 𝐭𝐮𝐧𝐚𝐥𝐢𝐟𝐚𝐧𝐲𝐢𝐚 𝐤𝐚𝐳𝐢 𝐇𝐢𝐥𝐨 𝐧𝐚𝐥𝐨 𝐢𝐥𝐢 𝐭𝐮𝐡𝐚𝐤𝐢𝐤𝐢𝐬𝐡𝐞 𝐮𝐧𝐚𝐩𝐨𝐜𝐡𝐚𝐧𝐠𝐚𝐧𝐲𝐚 𝐜𝐡𝐚𝐤𝐮𝐥𝐚 𝐮𝐧𝐚𝐩𝐮𝐧𝐠𝐮𝐳𝐚 𝐠𝐡𝐚𝐫𝐚𝐦𝐚 𝐛𝐚𝐝𝐚𝐥𝐚 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐡𝐚𝐧𝐠𝐚𝐢𝐤𝐚 𝐛𝐮𝐫𝐞

Want your business to be the top-listed Business in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address


Weyula
Dodoma
41201

Opening Hours

Monday 07:30 - 19:00
Tuesday 07:30 - 19:00
Wednesday 07:30 - 19:00
Thursday 07:30 - 19:00
Friday 07:30 - 19:00
Saturday 09:30 - 19:00