Elson Jackson

Elson Jackson

Share

13/02/2025

"Success is the sum of small efforts, repeated day in and day out." – Robert Collier

Hakikisha kila siku unafanya kitu kidogo kinachokusogeza karibu na malengo yako. Haijalishi ni hatua ndogo kiasi gani, cha muhimu ni kusonga mbele bila kusimama. Endelea kusukuma, ku push........mafanikio yako yapo njiani!
https://www.instagram.com/p/DGAws93tyyc/?igsh=MWNlejZqOHQwNDQ3Zg==

19/05/2024

*Ujumbe muhimu kwa wanaotaka kufanikiwa*

_Sehemu ya *kwanza*_

✓Nguvu Ya Kuanza Na Ulicho Nacho

Kila siku jua linapo chomoza na kuzana ni ishara ya kwamba siku imesha isha.

Ukweli ni kwamba kila siku inapopita katika macho yetu imebeba Baraka kwaajili kila kiumbe chenye uhai.

Kumbuka: Maisha ni fursa na kila mmoja hufanikiwa kwa kadri ya uwezo wake wa kufikiri na kutenda. Na kila siku mpya inapokuja mbele ya mtu ni fursa,sasa inategemea wewe unaitumiaje katika matumizi ya muda ili kufikia NDOTO zako.

Ukweli ni kwamba kila siku mpya inapokuja machoni kwa mtu kwa neema ya Mwenyezi Mungu imebeba fursa ya mafanikio kwa mtu.

Changamoto ni kwamba watu wengi wamekuwa na visingizio vingi sana, kila siku mpya inapokuja mbele yao wakati wanapotekeleza majukumu kila siku.

Na ndomana watu wengi wanapo anza mwaka mpya huwa na mipango||malengo||mawazo makubwa sana, ambayo mtu binafsi hujiwekea na kusema nataka mpaka itakapo fika mwakani niwe nimesha yatimiza.

*Mfano* wengine walikuwa na wazo la kifungua duka, biashara,kujenga, kuweka akiba labda 1M n.k

Cha ajabu mpaka sasa tunaelekea nusu mwaka yawezekana hakuna chochote ulicho kifanya kwasababu ya visingizio ambavyo unavyo

*Kitu unachotakiwa kufanya ni kuanza na ulicho nacho ili upate unacho kihitaji

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Dodoma