M13
I've received 400 reactions to my posts in the past 30 days. Thanks for your support. ππ€π
27/10/2022
Amenπ
26/10/2022
Haji Sunday manara
Tofauti ya fans wa Yanga na fans wa Team nyingine ni nyingi, lakini inayowatofautisha kwa ukubwa ni hii.
Wanazi wa Yanga ni Die Hard Fans, ni Watu wenye Stahmala kisha hawabishani unapowaambia jambo k**a Msimamo wa Club.
Then hawana kuremba inapokuja Issue ya Team Yao, Sijui ilikuwaje, lakini ni K**a Wamechanjia hivi kuhusu Club yao.
Ni Watu wa kawaida kimapato lakini wao ndio huongoza Kwa kujaza Viwanja Nchini, Ni Wananchi wa kawaida kabisa lakini ndio Club inayoongoza kununua Jezi za Team yao Afrika Mashariki.
Kiufupi hii ndio Club yenye Ufuasi mkubwa zaidi Kwenye ukanda huu wa Afrika na inatajwa k**a Namba Tatu Afrika kwa kushabikiwa zaidi, kando ya Al Ahly na Raja Casablanca.
Nb:: Yes pamoja na kutocheza Group Stage ya Caf Champions Kwa miaka mingi, lakini ndio inayoongoza Kwa halaiki ya Washabiki kuliko Team yoyote Afrika ( Total Games kwa Asilimia)
Ukibisha sio shida zetu.
Young Africans Sports Club
jiunge na group la whatsapp la kuchat kupitia app hii, ukishadownload nenda sehemu ya yanga chat tuenjoyπhttps://play.google.com/store/apps/details?id=mwananchi.daimaapp2
Magician Aziz kππ
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Dodoma