Shule Tech
11/04/2025
LIKIZO Hii mpatie mwanao app ya shule tech iliyopo playstore aweze kurudia masomo aliyosoma darasani kwa njia ya video kutoka kwa walimu wenye uzoefo.
Ongeza uwezo wa mtoto wako kujiamini kwa kujisomea mwenyewe kupitia app yetu hii ya shule tech.
Nenda Playstore andika shule tech kisha i download ,jisajili anza kusoma .
PIA SOMA VITABU MBALIMBALI KUPITIA APP YETU,Vitabu vya mapishi ,teknolojia nk.
Ikiwa una swali au maoni basi tupigie kwa 0718 660 882 karibu sana.
14/03/2024
Mfumo wetu wa Shule Tech unasaidia katika eneo la usimamizi wa shule kwa kurahisisha
i)Upangaji wa matokeo ya mitihani kwa shule yako,
ii)Mhudhurio ya wanafunzi,
iiii)Utoaji wa report kwa mzazi,
iv)Usimamizi wa Fedha kwa kutunza kumbukumbu zote za malipo ya Ada nk.
Tunakusaidia kutatua tatizo la kuhifadhi kumbukumbu zote muhimu za shule yako kwa kukupatia mfumo wa Kompyuta unaokuwezesha kupata taarifa sahihi ukiwa mahali popote na muda wowote.
Ili kuweza kuupata mfumo huu wa Shule Tech fika ofisini kwetu leo Dodoma mjini stendi kuu ya mabasi ghorofa ya kwanza au tupigie leo tukutembelee shule kwako. 0718 660 882 /0718666752 au 0620410814
https://shuletech.co.tz
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the school
Telephone
Address
Dodoma
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 22:45 |
| Tuesday | 08:00 - 22:45 |
| Wednesday | 08:00 - 22:45 |
| Thursday | 08:00 - 22:45 |
| Friday | 08:00 - 22:45 |
| Sunday | 08:00 - 22:45 |