Health tz
01/12/2022
TIBA YA GANZI NA MIGUU KUWAKA MOTO
Tatizo la ganzi na miguu kuwaka Moto Linawasumbua watu wengi,Sababu Kubwa ni Kuziba Kwa Mishipa midogo midogo ya damu,Kudhoofika kwa neva za pembezoni Mwa Mwili au Kupungua Virutubisho Mwilini,MICRO-OXYGEN-CYCLE ni dawa ya tibalishe Iliyothibitisha ubora Kutatua shida hio na nyingine Za Aina Hio
KAZI ZAKE
●Inaondoa ganzi,Miguu Kuwaka Moto,Inasafisha Damu na Kuondoa Maumivu Ya Kichwa Mara kwa Mara
●Kuondoa damu iliyosimama kwenye mishipa ya damu
●Husaidia kusafirisha hewa ya oxygen na virutubisho katika mishipa midogodogo na sehemu za mwili
●Huwezesha hewa na Virutubisho kufika mahala husika mwilini hivyo kuzuia tatizo la kufa kwa seli za mwili (Ganglion)
●Huondoa na kuzuia sumu mwilini (Detoxification)
●kulinda misuli ya moyo na seli za ubongo hivyo kuzuia tatizo la msh*tuko wa moyo na kiharusi
●Kuweka sawa kiwango cha mafuta (cholesterol)
●Kuimarisha mzunguko wa damu na Kusaidia macho kuona vizuri
●Kuzuia mishipa ya damu kusinyaa na kukaza
●Kuzuia kuganda kwa Damu katika mishipa (Blood cloating)
●Hutibu maumivu ya kifua haswa yanayosababishwa na chembe ya moyo (Angina)
●Hutibu shinikizo la damu, kiharusi na mshtuko wa moyo
Tupigie kwa namba za simu 0767054468 ili uweze kuipata bidhaa hii na inakufikia popote ulipo Tanzania Asante kwa mda wako na karibu sana tuhudumie.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Dodoma