Football Updates

Football Updates

Share

31/05/2026

Hilo ni parade la Arsenal wakishangilia ubingwa wa EPL hii leo 🔥🔥

Cheki hiyo nyomi ya watu...

Na tungebeba UCL 🏆 hakuna rangi mngeacha ona...🤐

29/05/2026

Future ya Tanzania iko kwenye mikono salama...

Vijana wenye vipaji vikubwa, uthubutu na nguvu wawapo kwenye pitch...

Umri sahihi wa kukua kisoka, misingi bora ya academies zao hatimaye matunda yanaanza kuonekana..

Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, U-17 (Serengeti Boys) wanatupeleka fainali ya AFCON 🔥

Hongera nyingi mno kwa vijana na technical staff 👏👏👏

Wataumana na Senegal 📌

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address


Dodoma