Mtendaji

Mtendaji

Share

Photos from Mtendaji's post 05/06/2026

AT&T STADIUM

Hii pia ni moja ya Venues zitakazotumika kwenye FIFA WORLD CUP 2026.

Hii structure inapatikana mjini Arlington, Texas nchini USA.

Uwanja una viti 80,000 na Executive suites 360, Uwanja una uwezo wa kuingiza mpaka watu 100,000 endapo watatumia mpaka standing rooms.

Ujenzi wake ulianza mwaka 2006 na kumalizika mwaka 2009 kwa makadirio ya gharama ya $1.95 billion.

Uwanja huu Ulijulikana duniani kwa kuwa na moja ya skrini kubwa zaidi za HD zilizowahi kufungwa ndani ya uwanja wa michezo wakati wa uzinduzi wake.

Mashabiki wengi huuita “Jerry World” kutokana na mmiliki maarufu wa timu ya Dallas Cowboys, Jerry Jones, Kumbuka Uwanja huu ndio makao ya timu ya NFL ya Dallas Cowboys tangu mwaka 2009.

05/06/2026

Kiatu cha Lionel Shayo Messi kwenye kombe la dunia. Unadhani kitakuwa bei gani? kwa Kariakoo

05/06/2026

watembezi hapa ni wapi?

14/05/2026

kwenye moja na mbili 👍✔️👍
show love

Want your business to be the top-listed Media Company in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Mwanza