Mkombozi Health Center
09/07/2026
✍🏻Je, unajua Magnesium ni madini muhimu kwa mwili wako?
✅Magnesium husaidia kuimarisha mifupa na meno, kupunguza misuli kukaza na maumivu, kuboresha usingizi, kusaidia afya ya moyo, na kuhakikisha mfumo wa neva unafanya kazi vizuri. Pia inaweza kusaidia kupunguza uchovu na kuongeza nguvu za mwili.
Usisubiri dalili ziongezeke. Wasiliana nasi leo kwa ushauri na bidhaa bora za afya.
📍 MKOMBOZI HEALTH CENTER
📞 +255748366447
FATTY LIVER
Maoni ya mtu kuhusu afya yako sio hatima yako
Mwenyezi Mungu ndo mjuzi wa yote
Hakuna linaloshindikana
Uskate tamaa kupambana na kansa. Kisa umeambiwa upande mmoja huwezi kupona
❤️💞❤️
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the school
Telephone
Website
Address
Makumbusho Stand
Dar Es Salaam