Wakali Tech-Lab

Wakali Tech-Lab

Share

Photos 17/12/2017
Photos 28/02/2017

*NGUVU KUBWA YA MAFANIKIO INAPATIKANA KWA KUCHUKUA HATUA.*

✨ Mafanikio Yoyote Unayoyatafuta yapo Kwenye Kuanza. K**a kuna jambo unataka kulifanikisha ni lazima ulianze na sio kulisubiria. Nguvu kubwa ya kuendelea na kusonga mbele inapatikana kwa kuanza. Unapokuwa unaanza jambo, sio tu unakuwa na nguvu ya kuweza kulifanya bali nguvu hiyo inakuwa inaongozeka siku hadi.

✨ Moja kati ya wanasayansi waliopata kuwepo katika hii dunia, Isack Newton aliwahi kulieleza hili vizuri katika sheria yake ya mwendo kwamba kitu chochote kikiwa kwenye mwendo kitaendelea kuwa kwenye mwendo huo na kitu chochote ambacho kipo katika hali ya kutulia au utulivu, kitaendelea kutulia siku zote mpaka itokee nguvu nje ya hapo ya kubadili hali hizo.

✨ Tafsiri au maana yake ni nini hapa? Ni kwamba k**a utaamua kuchukua hatua juu ya maisha yako, utazidi kupata nguvu ya kukufanikisha kwenye mafanikio unayoyahitaji. Chochote unachotaka kukifanya kwenye maisha yako hata kiwe kikubwa vipi, siri kubwa ya kukifanikisha ipo kwenye kuanza.

✨ Mafanikio yote makubwa chini ya jua yalianza kwa kufanya kwanza na sio kusubiri. Kumbuka . ”DO THE THINGS YOU WILL HAVE THE POWER TO ACCOMPLISH IT.” K**a kuna jambo unataka kulifanya, wewe lifanye tu acha kujiandaa sana, kwani nguvu ya kufanikisha jambo hilo itapatikana wakati unafanya na sio kusubiri. Hivi ndivyo mafanikio makubwa yanavyopatikana kwa kuchukua hatua za utekelezaji.

Chukua hatua na kila la kheri,

Njema

Photos 24/02/2017

A crow lived in the forest and was absolutely satisfied in life. But one day he saw a swan. “This swan is so white,” he thought, “and I am so black. This swan must be the happiest bird in the world.”

He expressed his thoughts to the swan.

“Actually,” the swan replied, “I was feeling that I was the happiest bird around until I saw a parrot, which has two colors. I now think the parrot is the happiest bird in creation.”

The crow then approached the parrot.

The parrot explained, “I lived a very happy life until I saw a peacock. I have only two colors, but the peacock has multiple colors.”

The crow then visited a peacock in the zoo and saw that hundreds of people had gathered to see him. After the people had left, the crow approached the peacock.

“Dear peacock,” the crow said, “you are so beautiful. Every day thousands of people come to see you. When people see me, they immediately shoo me away. I think you are the happiest bird on the planet.”

The peacock replied, “I always thought that I was the most beautiful and happy bird on the planet. But because of my beauty, I am entrapped in this zoo. I have examined the zoo very carefully, and I have realized that the crow is the only bird not kept in a cage. So for past few days I have been thinking that if I were a crow, I could happily roam everywhere.”

That’s our problem too. We make unnecessary comparison with others and become sad. We don’t value what God has given us.

This only lead to the vicious cycle of unhappiness.

Learn to be happy in what you have instead of looking at what you don’t have. There will always be someone who will have more or less than you have.

Someone who is satisfied with what he/she has, is the happiest person in the world.

Always be proud to be yourself. and Have a nice DaY

Mach Kernel for AMD FX Processors 10.9.4 Mavericks 16/10/2014

Mach Kernel for AMD FX Processors 10.9.4 Mavericks Download Mach Kernel for AMD FX Processors 10.9.4 Mavericks Version RC3 uploaded by Niresh - Hackintosh Zone

Want your business to be the top-listed Computer & Electronics Service in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Sinza Madukani
Dar Es Salaam