DAMUSSA

DAMUSSA

Share

06/03/2025

Salamu za kipekee kwa mashabiki bora wageni! Yusuph Duta

Tafadhali subiri 05/12/2024

𝗦𝗘𝗠𝗜𝗡𝗔 𝗬𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗙𝗨𝗡𝗭𝗜 𝗪𝗔𝗜𝗦𝗟𝗔𝗠𝗨

Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislamu wa Shule za Sekondari Mkoa wa Dar es Salaam (DAMUSSA), imeandaa 𝗦𝗲𝗺𝗶𝗻𝗮 𝗻𝗮 𝗞𝗮𝗺𝗯𝗶 ya 𝘀𝗶𝗸𝘂 𝗸𝘂𝗺𝗶 (𝟭𝟬) kwa wanafunzi wa Kiislamu wa shule za sekondari mkoa wa Dar es Salaam.

🏡 Semina itafanyika:
IHSAN ISLAMIC SECONDARY SCHOOL, Kigamboni.

⏰ Muda:
Kuanzia 15/12/2024 hadi 25/12/2024.

🎯 Lengo:
Kuwajenga wanafunzi Kimaadili na Kitaaluma.

📚 Mambo watakayofundishwa.
1. Mbinu za kujisomea
- Kusolve Past Papers
- Kutumia Syllabus
- Kutumia New Examination Format
- Kutumia Vitabu vya TET
- Kutumia Ripoti za Necta (CIRA)
2. Kuwaheshimu wazazi wawili
3. Usafi binafsi
4. Adabu za kula
5. Mafunzo ya swala kwa vitendo
6. Kuishi kwa malengo
7. Kuchangamkia fursa
8. Umoja na ushirikiano n.k

💰 Gharama ya ushiriki:
Shilingi elfu thelathini (30,000/=) Tu. Mshiriki atapata
- Huduma ya malazi
- Chakula
- Huduma ya afya (pindi akiumwa)
- Usafiri
- Vitabu mbalimbali
- Cheti cha ushiriki

📡 Kufanya maombi ya kushiriki:
Bonyeza link kujaza fomu kuomba ushiriki online: 👇

https://forms.gle/UKSu7T2AMRUEHU389

Mwisho wa kujaza fomu hii ni 13/12/2024. Wahi sasa kabla ya nafasi kujaa.

☎ Kwa mawasiliano zaidi
Abubakari Mpini +255712792246
Salum Fumo +255786749426

Ahsante.

Tafadhali subiri

Tafadhali subiri 19/11/2024

Tafadhali subiri

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Dar Es Salaam
90329