Volunteers In Development - VID
21/04/2026
*📅 SAVE THE DATE 📅*
> *Save the date for Community Center Fundraising Gala*
📅 Tarehe: 23 Mei 2026
*Tukio hili maalum linalenga kukusanya rasilimali kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha jamii kitakachochochea maendeleo endelevu katika kuwezesha yatima, vijana na kuwezesha program mbalimbali za maendeleo za kijamii.*
🤝 *Tunakaribisha wadau wote kushiriki kwa njia ya:*
*Kuchangia | Kusaidia | Kudhamini*
Kwa pamoja, tunaweza kujenga misingi imara kwa ajili ya kesho bora.
📞 Kwa mawasiliano:
+255 768 587 488
+255 713 500 305
Volunteers In Development (VID) ~ Inspiring Orphans and The Needy
Togetherwecanmakeadifference
09/04/2026
Assalamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh
*Kupitia VID, tunaendelea na ujenzi wa VID Community Center*
💫 1 MILLION CAMPAIGN
*Lengo: TSh 208,000,000*
Kwa ajili ya GROUND FLOOR
Maduka haya yatasaidia:
✔️ Kuzalisha kipato cha kudumu
✔️ Kuendesha programs za yatima
✔️ Kujenga taasisi inayojitegemea
🤲 Tunatafuta watu 100 tu
Kila mmoja: TSh 1,000,000
Hii ni phase ya ujenzi (sio project yote)
Phase nyingine zitaendelea baada ya hii
✨ Hii ni Sadaka Jaria — uwekezaji wa kudumu
Tuma mchango:
Tigo: 0655900444
Airtel: 0789407887
M-Pesa: 0768587488
PBZ Bank Account Number: 0451026000
Amana Bank Account Number: 0011 408 133 300 01
🙏 Pamoja tunajenga mustakabali wa vijana wetu.
31/03/2026
Taasisi ya VID (Volunteers in Development) inakukaribisha kushiriki katika fursa adhimu ya Sadaka Jaria kupitia ujenzi wa Community Center — kituo kitakachohudumia jamii kwa kutoa msaada, elimu na malezi bora kwa yatima na wasiojiweza.
Mradi huu ni uwekezaji wa kudumu unaogusa maisha ya wengi, na kila mchango wako utakuwa sehemu ya historia ya kheri itakayoendelea kizazi hadi kizazi.
Tunapokea michango ya aina mbalimbali:
💰 Michango ya fedha
🧱 Tofali na vifaa vya ujenzi
Hakuna mchango mdogo — kila unachotoa kina thamani kubwa na ni hatua muhimu kuelekea kukamilisha ndoto hii ya pamoja.
Shiriki nasi leo, ujipatie Sadaka Jaria itakayodumu milele.
Alone you can help, together we can make a difference (VID)
Volunteers In Development (VID)
~ Inspiring Orphans and The Needy.
*Mpesa lipa no. 52994606*
*Tigo lipa no. 22162201*
Tigo pesa *0655900444*
Mpesa *0768587488*
Airtel *0789407887*
30/03/2026
Taasisi ya VID (Volunteers in Development) inakukaribisha kushiriki katika fursa adhimu ya Sadaka Jaria kupitia ujenzi wa Community Center — kituo kitakachohudumia jamii kwa kutoa msaada, elimu na malezi bora kwa yatima na wasiojiweza.
Mradi huu ni uwekezaji wa kudumu unaogusa maisha ya wengi, na kila mchango wako utakuwa sehemu ya historia ya kheri itakayoendelea kizazi hadi kizazi.
Tunapokea michango ya aina mbalimbali:
💰 Michango ya fedha
🧱 Tofali na vifaa vya ujenzi
Hakuna mchango mdogo — kila unachotoa kina thamani kubwa na ni hatua muhimu kuelekea kukamilisha ndoto hii ya pamoja.
Shiriki nasi leo, ujipatie Sadaka Jaria itakayodumu milele.
Alone you can help, together we can make a difference (VID)
Click here to claim your Sponsored Listing.
Contact the organization
Telephone
Website
Address
Magomeni Mapipa Wazani Street
Dar Es Salaam
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 17:00 |
| Tuesday | 08:00 - 17:00 |
| Wednesday | 08:00 - 17:00 |
| Thursday | 08:00 - 17:00 |
| Friday | 08:00 - 17:00 |