Dunstan VIDEO Production

Dunstan VIDEO Production

Share

25/08/2023

Kila Hatua Dua 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

09/08/2023

Kwa HUDUMA ya Video shooting na still picture wasilianana nasi Kwa simu namba 0743222537

05/07/2023

Kila kazi Ina changamoto zake,
Leo naomba tupeane Uzoefu, tuambie unafanya kazi gani na changamoto yake ni ipi.

Kwetu Sisi changamoto yetu kubwa ni mtazamo wa Watu, Wengi wanaamini Kuwa Wapiga Picha wengi ni MALAYA SANA. Hili Jambo linatunyima AMANI hata kwenye Ndoa, utasikia tu hii KAZI baba Fulani Bora tu ubadirishe kazi baba maana sina IMANI NA WEWE KABISAAA.

Haya tuambie wewe Sasa unafanya KAZI Gani na Changamoto Yako ni ipi??

27/06/2023

Iwe Jua ama Iwe Mvua, wakati wa furaha au wakati wa huzuni, Kwa nyakati zote uzipitiazo usimwache Mungu akupaye Pumzi.

Want your business to be the top-listed Event Planning Service in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Dar Es Salaam