AYSA
18/05/2026
𝗔𝗬𝗦𝗔 𝗻𝗱𝗮𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝗼𝗺𝗯𝗲 𝗹𝗮 𝗱𝘂𝗻𝗶𝗮 𝗤𝗔𝗧𝗔𝗥 🌍
Tumepata muwakilishi kwenye michuano ya kombe la dunia U17 itayofanyika nchini Qatar 2026.
Kijana wetu Abdul Ismail akiwa na kikosi cha timu ya taifa wamefanikisha ushiriki wa nchi yetu 🇹🇿katika kombe la dunia Qatar 2026.
Sisi k**a shule ya mpira tunajivunia kijana wetu kua mmoja wa wahusikia kuiweka historia hii kubwa, Tunawatakia kila la kheri 🙏🏼
Lengo letu k**a akademi/shule ya mpira ni kuibua na kuendeleza vipaji vingi zaidi na kuzilisha timu zetu za taifa.
NguvuKidogoAkiliNyingi ByFireByForce
17/05/2026
Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Avocado Street
Dar Es Salaam