Numeric Digital
14/11/2025
DODOMA \ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza msamaha maalum kwa vijana waliohusishwa na vurugu wakati wa kipindi cha uchaguzi, ambao walijikuta wakifuata mkumbo bila kufahamu uzito wa matendo yao.
Akitangaza uamuzi huo wakati akilihutubia Bunge la 13 leo Novemba 14, 2025, Rais Samia alisema lengo la msamaha huo ni kuwapa nafasi vijana hao kurejea katika familia zao na kuanza upya maisha yao wakiwa na maadili na uelewa zaidi.
Uamuzi huu umepokelewa k**a hatua muhimu ya kuhimiza maridhiano, umoja na ustawi wa taifa.
DODOMA \ Maneno ya Dkt. Mwigulu Nchemba baada ya Kuthibitishwa kuwa Waziri Mkuu leo Hii Bungeni Dodoma.
DODOMA | MWIGULU NCHEMBA ateuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam
0255