Hope for all

Hope for all

Share

28/12/2024

Every time you get a chance , try to make a positive change in your life.
Happy festive season

07/12/2024

It is good to know that God can not allow pain into your life without a purpose.

03/12/2024

Fervent prayer

02/12/2024

May God bless everything you touch for your better future.

02/12/2024

This is your moment. God is going to overturn things. No more pain. No more sorrow.

Praise God 🙏.

02/12/2024

Don't overshare your thoughts, not everyone is your friend.

01/12/2024

May this December bring great accomplishments for you.

Blessings

09/03/2024

Waamuzi (Jud) 6:13 "Gideoni akamwambia, Ee Bwana wangu, ikiwa BWANA yu pamoja nasi, mbona mambo haya yote yametupata? Yako wapi matendo yake ya ajabu, waliyotuhadithia baba zetu, wakisema, Je! Siye BWANA, aliyetuleta huku kutoka Misri? Ila sasa ametutupa, naye ametutia katika mikono ya Midiani."

Kuna wakati unapitia magumu. Taabu nyingi. Magonjwa yanakulemaza. Hata wakati mwingine, mnauza kila kitu lakini bado tatizo lenu liko pale pale. Ndipo unajiuliza huyu Mungu yupo wapi? Mungu mbona hunioni mimi.. mbona uniruhusu niteseke kiasi hiki?
Gideoni ni miongoni mwa wana Wasraeli ambao mambo yao hayakuwa sawa na Mungu na hivyo walipitia kipindi kigumu mikononi mwa Wamidiani. Walikuwa wameanza kuitumikia miungu ya Bahali kwa hiyo Mungu kawachilia. Pengine kuna mahali maisha yako hayaendi sawa. Nawe unajiuliza hivi Mungu anakuona? Mbona hakuoni kwenye shida yako. Nakuambia jiweke sawa na Mungu.

Utakapojiweka sawa na Mungu, mbona mambo yako yatakuwa sawa. Miradi itakuwa uhai tena. Ndoa yako itakuwa na mwanzo mpya. Furaha itarudi nyumbani mwenu. Biashara zenu zitanawiri tena. Watoto wenu watakuwa na furaha. Mambo yenu yatakuwa sawa.

Mungu WA mbinguni akusaidie. Uwe na maisha mapya. Afya yako irejee tena.

Barikiweni sana!

03/03/2024

Hatuwezi ishi kikawaida tukategemea kupata matokeo tofauti. Hebu tubadilishe mbinu na mikakati. Tuwe wabunifu.

21/02/2024

Mbaraka muhimu sana maishani ni kuamka ukiwa hai na mzima wa afya.
Kukicha asubuhi ni fursa nyingine ya kubadilisha maisha yako.
Mungu abariki kazi zenu.
Amina!

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Nakuru
Dar Es Salaam