Helthier weight
27/05/2020
Usambazaji Wa damu ni Wa muhimu sana katika organ zote za mwili ingawa umuhimu zaidi upo kwenye moyo na ubongo-ambazo ni organi muhimu mwili wote unapoegemea.
Ginkgo ni ya muhimu sana sehemu ambazo kuna matatizo au kasoro za mzunguko Wa damu katika ubongo ikisaidia kuondokana na matatizo au maambukizi yote ya ubongo.
Ginkgo inasaidia mishipa ya damu kutanuka hivyo kuruhusu damu kwa kiasi kikubwa kuzunguka na kutokana na hilo hii husaidia kupunguza presha ya damu.
Umuhimu:-
1:kusaidia kuimarisha mzunguko Wa damu katika ateri na veini hivyo kusaidia kupunguza kasoro k**a mzunguko kuwa mdogo kwa watu k**a waliozeeka k**a kuongeza kumbukumbu,kasoro katika ufikiri,kizunguzungu,kelele katika masikio na kichwa kuuma.
2:Inasaidia kutibu au kuondoa ugonjwa Wa claudication-miguu kuuma wakati Wa kutembea au kufanya mazoezi.
3:Inasaidia kuzuia damu kutoka katika jeraha (blood clotting) hii husaidia kuzuia baadhi ya magonjwa ya moyo.
Faida zake:-
👉🏼kuongeza ufanisi Wa ubongo.
👉🏼kuongeza au kuimarisha mzunguko Wa damu mwilini.
👉🏼kuongeza kumbukumbu.
👉🏼kuimarisha kinga ya mwili.
👉🏼kupambana na sumu pamoja na kemikali mwilini.
👉🏼inazuia aleji au kuwasaidia wenye aleji
👉 Husaidia kuboresha tendo la ndoa kwa kuongeza nguvu na hamu ya mapenzi
👉 Husaidia kuondoa msongo wa mawazo
👉 Huimarisha afya ya macho na kusaidia kuona vizuri.
Wasiliana nasi kwa Watsapp/ Sms/ piga 0683606394
14/01/2020
SABABU KUU KUMI ZA KUTUMIA KINYWAJI CHA FOREVER ACTIVE BOOST (FAB).. FAB ni kinywaji chenye kukurutubisha na kukuongezea nguvu kitokanacho na Guarana, Aloe Vera, Cranberry na Schizandra vinavyoongeza Vitamin B3, B5, B6, B12, Amino acids, Wanga na Protini.
FAIDA ZAKE
1 Ina kiwango kidogo cha Calories ukilinganisha na vinywaji vingine vya energy.
2 Kuongeza nguvu kwa wanamichezo, madereva wenye kazi nyingi.
3 Hukupa nguvu ya hapo kwa hapo na ya kudumu kwa muda mrefu
4 Kina ladha nzuri
5 Haina Caffeine wala sukari ya kutengenezwa bali ina Caffeine ya asili (tunda la GUARANA)
6 Huboresha tendo la ndoa (Longevity na Libido)
7 Inasaidia maumivu ya kichwa.
8 Husafisha sumu mwilini hasa kwenye mafigo na maini.
9 Husaidia kuondoa HANGOVER
10 Imepitishwa na Anti-Dopping (Hakina kemikali)
Kwa kujiunga na biashara hii au kupata bidhaa hii na nyingine nyingi kutoka Forever Living Products, tafadhali piga
simu/Whatsapp no: +255744606272
NB. UTAFIKISHIWA BIDHAA POPOTE ULIPO NA KATIKA MUDA MUAFAKA..!
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam