PAMBAPOINTERZtz

PAMBAPOINTERZtz

Share

19/07/2024

Ebana mambo vipi? Pole na miangaiko ya kila siku. Jumamosi ya kesho nitaachia nyimbo yangu Mpya muda wa saa sita usiku.
Ni nyimbo nilio prodyuzi mimi mwenye na ninyimbo yangu ya kwanza kuitambulisha nikiwa nimeiprodyuzi mwenyewe.
K**a una ushauri wowote, pendekezo lolote unaweza weka comment yako hapa nakujibu, au tembelea akaunti yangu ya YouTube natumia (twiscoofficial)

Asante.

11/02/2023
Want your business to be the top-listed Business in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam