CASO computers
Laptop yako ndiyo mshirika wako wa kazi, masomo, biashara au gaming. Kwa nini uiache ipate joto kupita kiasi wakati unaweza kuipa ulinzi unaostahili?
Laptop Cooling Pad Stand yenye Double Fan husaidia kupunguza joto, kuboresha mzunguko wa hewa, kuinua laptop kwenye kiwango kizuri cha matumizi na kufanya sehemu yako ya kazi ionekane ya kisasa na ya kitaalamu.
Ukweli ni huu: Laptop nzuri bila Cooling Pad ni k**a simu ya kisasa isiyo na cover inafanya kazi, lakini haijakamilika.
Linda uwekezaji wako leo ili uendelee kufanya kazi kwa kasi, utulivu na kujiamini.
📦 Tunauza rejareja na jumla.
📩 Tuma DM uagize yako leo.
𝗩𝗮𝗹𝘂𝗲: 𝗧𝘀𝗵 𝟮𝟱,𝟬𝟬𝟬
𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽/𝗖𝗮𝗹𝗹: (+𝟮𝟱𝟱)𝟬𝟳𝟵𝟳 𝟮𝟭𝟳 𝟳𝟮𝟭
Mungu baba! 😭
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Uhuru Street Karibu Na China Plaza, Kariakoo
Dar Es Salaam
11612DSM