Sports Machine
13/07/2020
Kunamwamba mmoja wakuitwa Chama kiukweli hii ndio engine ya Simba SC Tanzania yy ndie anaeamua speed ya mechi akiwa uwanjani huyu jamaa mm huwa namuita lubricant maana anafanya mtu uone mpira wa miguu ni kazi nyepesi Sana kituambacho sio kweli mpira ni kazi ngumu sana ila kwa chama anautumikisha mpira na unamtii kiukweli chama ndie kiungo bora kwa sasa kwenye ligi kuu Tanzania bara Hakuna Becki anayetamani kumkaba huyu mwamba kiukweli chama anacheza huku akionyesha kiburi cha soka pia anaswaga ila nizile zenye faida kwa timu c k**a zile za Morison za kuonyesha dharau chama ni complete namba 10
14/07/2016
12/07/2016
Talent
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam