UTVTZ
Mchambuzi wa Siasa, Lugete Lugete amesema kuwa Sudan Kusini iliamini itakuwa huru na yenye amani baada ya kujiondoa kutoka Sudan walipokuwa wanalalamika kunyonywa hata hivyo vita ya wenyewe kwa wenyewe imekuwa ikiendelea kuwa kikwazo kikubwa kwa nchi hiyo.
✍Ibrahimu Kilumbo
Mhariri |
Wasanii wamekuwa wakitumika k**a kioo cha jamii kwa kuwasilisha matukio na changamoto zinazojitokeza katika maisha ya kila siku. Tamthiliya ya imeamua kuakisi hali hiyo kupitia wahusika M***a Kichikiro na Bakari Mayome, wanaowakilisha vijana wanaovutiwa na wanawake wenye umri mkubwa zaidi maarufu k**a “mishangazi”.
Waigizaji hao wamesema awali ilikuwa changamoto kuigiza nafasi hizo kutokana na heshima waliyoijenga kwa wanawake wakubwa ambao walipaswa kucheza nao k**a wahusika wa mishangazi. Hata hivyo, wameeleza kuwa kupitia sanaa wameweza kuwasilisha ujumbe unaolenga kuelimisha jamii kuhusu mahusiano na changamoto zinazowakabili vijana.
Tamthiliya hiyo inayobeba simulizi za maisha ya vijana na mishangazi pamoja na mafunzo mbalimbali kwa jamii, inapatikana kupitia chaneli ya 106 kwenye kisimbuzi cha .
✍Halima Abdallah
Mhariri | John Mbalamwezi
Imekuwa kawaida kwa baadhi ya watu, wanapokumbana na migogoro na marafiki au wenza wao, hufichua siri au mambo binafsi waliyokuwa wakitunziana k**a njia ya kueleza malalamiko yao.
Mshauri wa masuala ya ndoa, Mwajuma Mchuma, amesema changamoto zinapotokea katika mahusiano ni vyema kwanza kutafuta suluhu ndani ya ndoa au kati ya wahusika kabla ya kuwashirikisha wanafamilia au watu wengine.
Mchuma ameongeza kuwa kusimulia matatizo ya mwenza kwa familia kunaweza kusababisha chuki na kuharibu uhusiano, akieleza kuwa hata k**a mtu atasamehe makosa ya mwenza wake, si rahisi kwa familia iliyokwisha kusikia upande mbaya wa jambo hilo kufanya hivyo.
✍Halima Abdallah
Mhariri | John Mbalamwezi
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Mandela Road
Dar Es Salaam
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| 20:00 - 21:00 | |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| 20:00 - 21:00 | |
| Wednesday | 20:00 - 21:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| 20:00 - 21:00 | |
| Friday | 06:00 - 21:00 |
| Saturday | 20:00 - 21:00 |
| Sunday | 09:00 - 17:00 |