ExtraPower Tv
08/06/2026
Klub ya Azam fc imeanza kuboresha kikosi chake kwa kuwaongezea mikataba wachezaji wake Muhimu. Baada ya wiki iliyopita kumuongezea mktaba kocha Ibenge, tayari wiki hii wamemsainisha mkataba mpya winga wa Idi seleman nado.
Nado ameongeza mkataba wa miaka miwili kuitumikia klub ya Azam fc, mkataba wa nado ulikuwa unaisha mwishoni mwa mwezi huu wa sita.
Kwa mujibu wa Taarifa za ndani ya Azam fc tayari CEO wa azam fc yupo mezani na wachezaji kadhaa ikiwemo fei toto katika mkakati wa kumuongezea mkataba mwengine.
05/04/2026
Happy easter watu wa Mungu
Rais Paul Kagame alikutana na jamii ya Waislamu nchini Rwanda katika ukumbi wa BK Arena mjini Kigali.
Katika mkutano huo wa maswali na majibu, mshiriki mmoja alimueleza Rais kuhusu changamoto ya kuondolewa kwa adhana ya alfajiri (asubuhi mapema) kwenye vipaza sauti, jambo ambalo liliathiri uwezo wa waumini kujua muda wa sala hiyo.
Tazama video kamili kwenye youtube channel ya extrapower tv.
https://youtu.be/tT0l_B7K6yI
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Kinondoni
Dar Es Salaam
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |
| Saturday | 09:00 - 17:00 |
| Sunday | 09:00 - 17:00 |