KITAA RADIO FM
NAMPENDA NANI Feat JUMA NATURE
PRODUCED By PFunk (BONGO RECORDS),
CHORUS
nakupendaaa na sifa nakupa [mnyakwibata],
usiyafuate ya wale wasiopenda maendeleo yako mpenzi wangu x2/
nampenda penda [naaani]
msichana mmoja [naani],
mweupe kidogo[naaani],
nampenda nampenda/
nyuma kajaza[naani],
kifuani---[naani],
anakwenda kwa pozi naani,
nampenda nampenda
VERSE:
Nampenda dem mmoja awe mtanzania/
awe na sifa za kweli niweze jivunia/
nijue wapi kazaliwa wapi katokea/
ndugu jamaa wazazi nipate waelezea/
uzuri wa sura yake uendane na tabia/
apendwe na watu c makumi bali mamia/
dada zangu wazazi wasije kumchukia/
waseme mbona cc awali tulikuambia/
ntampenda dem mwenyewe awe mweusi kidogo/
hata k**a mweupe isiwe kwa mkorogo/
awe mnyisanzu mnyakyu mnyalu c mgogo/
hapo ntapata raha kachaa c kidogo/
niwe kwake moyoni asiwe kwangu mfukoni/
eti umaarufu na madini yangu shingoni/
dem yamdatishe anase kwangu mtegoni/
ntapochalala dem aingie mitini/
sijui nani mkweli sijui nani nimwamini/
ila namwomba mungu roho tu ya imani/
nimpate mmoja mpenzi tu nimwamini/
nimvike pete ndoa kitu cha thamani/
utajiri umaskini ndani ya penzi ni matokeo/
kila mmoja kati yetu atambue jambo hilo/
isije siku za usoni ikaleta kimeo/
lakini nakuamini huwezi kuniacha mwenzio/
utabaki wangu nami ntakuwa wako/
kile kilicho changu mpenzi hicho ni chako/
bega kwa bega nami niko nyuma yako/
mike tee na nature haki ya mungu hatutoficha/
CHORUS
nakupendaaa na sifa nakupa [mnyakwibata],
usiyafuate ya wale wasiopenda maendeleo yako mpenzi wangu x2/
nampenda penda [naaani]
msichana mmoja [naani],
mweupe kidogo[naaani],
nampenda nampenda/
nyuma kajaza[naani],
kifuani---[naani],
anakwenda kwa pozi naani,
nampenda nampenda
hewala bwana wacha me niseme sana/
hata nikificha kwangu haitoleta maana/
ni kheli niwe mkweli muwazi anijue vizuri/
ili akipata nyeti za uzushi awajibu kiburi/
nafaham unafaham binadam sote dhaifu/
vizingiti ni vingi mpaka me nikuite wife/
imani uvumilivu pia uaminifu/
vyote kwa pamoja vyahitajika maradufu/
mikufu sarafu isiwe kipimo cha mapenzi/
kunikubali mnyalu nidrive bima au benzi/
hizo ni fikra potofu tena tu za kishenzi/
naahidi kwa kila khali mimi nitakuenzi/
Kweli kuna maombi na maombezi
kha
TEKNOLOJIA YA AKILI BANDIA (AI) NA HAKI ZA WASANII WA MUZIKI ZIMEKUWA MJADALA MKUBWA DUNIANI KUTOKANA NA CHANGAMOTO NA FURSA ZINAZOLETWA NA MATUMIZI YA AI KATIKA UUNDAJI, USAMBAZAJI NA UMILIKI WA KAZI ZA MUZIKI.
Miaka michache iliyopita, wasanii wengi hawakuwa wakizungumzia Akili Bandia (AI). Leo hii, AI inaweza kuandika mashairi ya nyimbo, kutengeneza midundo, kuiga sauti za wasanii, na hata kuzalisha nyimbo kamili.
Changamoto kubwa ni kwamba sheria bado zinajaribu kwenda sambamba na kasi ya maendeleo ya teknolojia hii.
Maswali mengi yanaanza kujitokeza katika tasnia ya muziki. Nani anamiliki haki za wimbo uliotengenezwa na AI? Je, sauti ya mtu inaweza kuigwa bila idhini yake? Nini hutokea pale AI inapofundishwa kwa kutumia muziki wenye hakimiliki?
Mijadala hii si ya baadaye tena. Inafanyika sasa hivi.
K**a msanii, ni muhimu kuendelea kupata taarifa na kuelewa mabadiliko haya kwa sababu teknolojia inabadilisha namna muziki unavyoundwa, kusambazwa na kulindwa. Wasanii watakaoelewa mabadiliko haya mapema watakuwa katika nafasi nzuri zaidi ya kulinda kazi zao, haki zao na fursa zao za kibiashara.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Address
Kijitonyama
Dar Es Salaam
1259