Bridge For Change
01/05/2026
Happy International Worker's Day!!
24/03/2026
Taasisi ya Bridge for Change tunaungana na dunia katika kuadhimisha siku ya Kifua Kikuu Duniani.
Kila mwaka, takribani watu milioni 10 huugua TB duniani, na zaidi ya milioni 1.3 hupoteza maisha, hali inayoonesha kuwa bado ni changamoto kubwa ya afya ya jamii.
Tunaamini kuwa kupitia elimu, uhamasishaji, na hatua za pamoja, tunaweza kubadilisha hali hii.
Kifua Kikuu kinazuilika na kinatibika.
Chukue hatua leo, Pima TB, pata matibabu, na jilinde wewe na jamii yako.
Kwa pamoja tunaweza kutokomeza TB
Want your organization to be the top-listed Non Profit Organization in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the organization
Telephone
Address
Office Location Maendeleo Street Opposite Mlimani City Mall
Dar Es Salaam
14114
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 16:30 |
| Tuesday | 08:00 - 16:30 |
| Wednesday | 08:00 - 16:30 |
| Thursday | 08:00 - 16:30 |
| Friday | 08:00 - 16:30 |