Idodoe Web Design
Rest Easy Mshua. Nasikitika kutangaza kifo cha Baba yangu. Pumzika kwa Amani Baba. +255 714 000 009 namba yangu.
Idodoe Web Design Web Designer Since 2005. Founded by Basil Lyayuka. +255 714 000 009.
19/12/2022
Happy birthday to me ๐. Leo nita share kidogo safari yangu ya Web Design, nilianza tengeneza bure websites 2005 ila baadae niliamua fanya kwa faida. Kipindi najitafuta ilikuwa kazi ikija sitaji bei ni ninaifanya kwa njaa zote huku nikilala muda mchache kila siku kisha namwacha mteja mwenyewe anitunuku. Sasa ile kazi ya kwanza nilifanya zaidi ya mwezi. Nilitegemea Milioni ila mteja akatoa elfu sabini. Ukijumlisha changamoto nyingine nilizopata kupata wateja unaenda kwa mtu au kampuni wanakuambia watakuita hawakuiti. Sio kwamba wamepata mwingine hapana hawaiti yeyote. Nikachukia kutengenezea wateja websites nikaanza tengeneza mfumo wangu kuuza mziki pitia Website. Mfumo wa kwanza bora kuuza mziki duniani. Enzi hizo hamna Spotify wala Boomplay. Nikakutana na mtu ambaye hata sikutegemea ningefanya nae kazi sababu niliona ana watu wapya wameanza mtengenezea Website. Nikamuonesha ile website ili ani connect na wakina Diamond Platnumz. Akaupenda sana ule mfumo ulivyo mzuri na mwepesi. Akaniambia nifanyie na Mimi website yangu iwe nyepesi maana watembeleaji wangu wanalalamika. Tukaanza kazi siku hiyo. Yeye alinifungulia bomba la bishara yangu ya Website design sababu k**a kawaida yangu nilifanya kwa njaa website yake iwe nyepesi iwafikie watembeleaji wake wengi na iwe nzuri. Nilisema huenda huyu atanilipa vizuri na kweli baada ya siku chache alinishurukuru akaniambia ameona matokeo nimemuongezea views mara nyingi. Alirudi na gari yake kwa madaha akanipa laki 2 na nusu sitosahau ilinitia moyo sana. Ila namshukuru Mungu kwanza sababu katika kazi yangu vitu vingine ni vigumu binadamu nisingeweza, Mungu ananiepusha na Makosa natoka na Website nzuri wateja wangu wanafurahia. Kuna siku nilimtajia mteja Milioni kadhaa kumtengenezea Website sikudhani angekubali ila alikubali nikajishangaa na kusema ndo Mimi Mungu walikuwa wananilipa efu sabini๐ญ. Basi tumshukuru Mungu na kuendelea Muomba. Basil Lyayuka mwanzilishi Idodoe Web Design. Njoo au mlete rafiki tumtengenezee Website upate 10%. Bei ni rafiki sana kuna laki3, Milioni na kuendelea. Birthday ijayo ntajitahidi shusha chini ya hapa. Kuuliza ni Bure +255 714 000 009. LIKE/ COMMENT/ SHARE.
26/07/2022
Uncle on duty ๐ But son you're
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Kimara
Dar Es Salaam
16104
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 17:30 |
| Tuesday | 08:00 - 17:30 |
| Wednesday | 08:00 - 17:30 |
| Thursday | 08:00 - 17:30 |
| Friday | 08:00 - 17:30 |