Mkisi Digital
02/06/2026
MJADALA WA BURUDANI
Tukisahau umaarufu wa sasa kwa dakika moja...
NANI NI MSANII MKUBWA ZAIDI KUWAHI KUTOKEA AFRIKA?
Diamond Platnumz
Burna Boy
Wizkid
Davido
Fally Ipupa
Youssou N'Dour
Au mwingine?
Vigezo Vya Kuzingatia Katika Majibu yako
Mafanikio
Ushawishi duniani
Nyimbo zilizodumu kwa muda mrefu
Idadi ya mashabiki
👇 Taja jina MOJA tu na sababu yako Kunbuka Kufollow Ukurasa huu, Mambo Mazuri Mengi Yanakuja.
👍 LIKE
💬 COMMENT
🔄 SHARE
Mkisi Digital tunataka tuone nani anaungwa mkono zaidi na kwa nini!
01/06/2026
RASMI MUDA WA MECHI WABADILISHWA!
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza mabadiliko ya muda wa mchezo wa NBC Premier League 🇹🇿 kati ya Mbeya City na Simba SC.
📅 Juni 17, 2026
🏟️ Uwanja wa Sokoine, Mbeya
⏰ Saa 8:00 Mchana
Awali mchezo huo ulipangwa kuchezwa saa 10:00 jioni, lakini sasa utapigwa mapema zaidi kwa mujibu wa ratiba mpya iliyotolewa.
Simba wanapambana kuendelea na kasi yao, huku Mbeya City wakisaka matokeo makubwa mbele ya mashabiki wao wa nyumbani. Je, nani ataondoka na pointi tatu muhimu?
👇 TABIRI MATOKEO YAKO KWENYE COMMENT
⚽ Mbeya City VS Simba SC
👍 LIKE k**a unaisapoti timu yako.
💬 COMMENT utabiri wako wa matokeo.
🔄 SHARE ili mashabiki wengine wajue kuhusu mabadiliko haya muhimu.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
DAR ES SALAAM
Dar Es Salaam
12115