Dee son Graphics
*Asante Mungu π€π
Harusi yetu imefanyika salama na kwa mafanikio makubwa kutokana na upendo, dua/sala na support kubwa kutoka kwenu π₯Ήβ€οΈ*
*Kwa kila aliyesimama nasi kwa namna yoyote β uwepo, mchango, ushauri na maombi β tunawashukuru sana kutoka ndani ya mioyo yetu. Mmeifanya siku yetu kuwa ya kipekee na ya kukumbukwa milele β¨π*
*Tunawaombea baraka, afya njema na mafanikio katika maisha yenu. Thank you for making our wedding unforgettable π€π« *
19/08/2024
Unaambiwa Pichambao ndio habari ya mjini.
Njoo ujipatie size aina zote kwa bei poa kabisa
Nicheki watsup 0718795930
06/07/2024
πOUT DOORπ
01/05/2024
Brand account zako kwa posters kali za mtandaon kwa gharama nafuu kabisa
01/05/2024
Afya bora ni chachu ya nguvu na maarifa kazini. Cowbell Tanzani inakutakia Mei Mosi njema.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Goms
Dar Es Salaam