JAMII Habari

JAMII Habari

Share

23/03/2026

πŸ“Uongozi wa Simba SC umefanikiwa kumuongezea mkataba mpya wa miaka miwili fundi wetu, Elie Mpanzu.

Pongezi za dhati ziende kwa Rais wetu, Mohammed Dewji (), kwa kazi kubwa na kuhakikisha tunambakisha nyota huyu wa kimataifa kutoka nchini DR Congo πŸ‡¨πŸ‡© kuendelea kuitumikia jezi ya Mnyama. Kazi iendelee! πŸ”₯πŸ’ͺ

Wana Msimbazi, kwa kiwango alichokionyesha Mpanzu mpaka sasa, mnampa neno gani Rais Mo Dewji kwa kufanikisha dili hili? Dondosha comment yako hapa chini πŸ‘‡πŸ—£οΈ

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


MADALE
Dar Es Salaam