MAMeC

MAMeC

Share

06/07/2023

LUKOL

Ni dawa maalum asilia(Natural) iliyo katika mfumo wa vidonge kwa ajili ya matatizo yafuatayo:-

1.Maambukizi Ukeni.
2.Maambukizi kwenye shingo ya kizazi.
3.Maambukizi kwenye mji wa uzazi.
4.Maambukizi kwenye Mirija ya uzazi.

Wanawake wenye dalili zifuatazo wanaweza kunufaika na Matibabu haya:-

1.Kutokwa na Uchafu ukeni.
2.Miwasho ukeni.
3.Maumivu wakati wa kushiriki tendo la ndoa.
4.Maumivu Kwenye nyonga.
5.Maumivu ya Tumbo chini ya kitovu.

MAWASILIANO

+255(0) 623 677 706
+255(0) 682 90 30 50

14/06/2023

VASEER

Ni matibabu maalum Asilia (Natural) ya Tatizo la BAWASILI/MGOLO/PILES/HEMORRHOIDS bila kufanya Upasuaji.

Kumbuka ,Dalili za ugonjwa wa bawasili ni pamoja na:-

1.Kuwa na Uvimbe/Kinyama kwenye njia ya kutolea hajakubwa.
2.Kutoa hajakubwa iliyochanganyika na damu nyekundu.
3.Maumivu makali wakati wa kujisaidia hajakubwa.
4.kupata hajakubwa ngumu na Inayofanan na ya Mbuzi.
5.Miwasho eneo la kutolea hajakubwa.
6.Kutokwa na Majimaji/Mlenda mlenda eneo la kutolea hajakubwa.

Ili kupata matibabu haya,usisite kuwasiliana na
Kwa matibabu ya Uhakika,kwa wakati na kwa Gharama nafuu.

13/06/2023

BONISSAN

Ni Matibabu Maalum Asilia (Natural) kwa matatizo yafuatayo kwa watoto:-

1.Tatizo la maumivu ya tumbo kwa watoto.(Abdominal cramps)
2.Tatizo la Watoto kutokupata hajakubwa.(Constopation)
3.Tatizo la watoto kutokuwa na hamu ya kula. (Low appetite)
4.Tatizo la watoto Uzito kutokuongezeka vizuri.
5.Tatizola chakuta kutokumeng'enywa Vizuri (Ingestion)

Iwapo Mtoto wako ana changamoto k**a hii,usisite kuwasiliana na Kwa ufumbuzi wa uhakika,kwa wakati na kwa Gharama nafuu.

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Culinary Team

Attire

Telephone

Website

Address


Ilala, Mwanza/Moshi Street
Dar Es Salaam