Tuffcube

Tuffcube

Share

03/11/2022

JE, WAJUA?🤔
Mwaka jana mwishoni, tetesi za Umoja wa nchi za Ulaya kuweka sheria ya simu zote kuwa na port ya USB-C ili kuweka umoja wa cable na kupunguza takataka za kielektroniki: Apple ilikuwa ni kampuni ambayo ilipata changamoto kwa sababu haitumii port ya USB-C katika simu zake za iPhone.

Kampuni nyingi hasa za simu za Android mfano Infinix, Samsung, Google, Nokia, Motorola, Oppo, Vivo, n.k tayari zimehamia kwenye port ya USB-C.

Tetesi za mwanzo zilionyesha Apple italazimika kuweka port ya USB-C katika iPhone. Na tayari Apple ilikuwa imeanza majaribio ya kiufundi katika iPhone 13 na iPhone 14.

Jana uthibitisho umetoka rasmi ndani ya kampuni ya Apple. Mtendaji mkuu wa Apple - Greg Joswiak na Craig Federighi ambaye ni Makamu wa Rais mkuu wa Masoko wamethibitisha katika Interview ya Wall Street Journal kuwa Apple inaweka USB-C kwenye iPhone ili kuendana na kanuni mpya za EU.

Inaonekana iPhone 15 ndio itakuwa iPhone ya kwanza kuwa na USB-C!

Credits: .tek

Photos from Tuffcube's post 20/09/2022

SEPTEMBER BIG SALES‼️ SEPTEMBER BIG SALES‼️

Brand New iPhone  14’s SERIES NOW IN STOCK🔥🔥

BRAND NEW iPHONE 14
📍128GB || TZS 2.600.000/-✅

📍256GB || TZS 2.800.000/-✅

🔥🔥

BRAND NEW iPHONE 14 PRO
📍128GB || TZS 3.600.000/-✅

📍256GB || TZS 3.800.000/-✅

🔥🔥

BRAND NEW iPHONE 14 PRO MAX
📍128GB || TZS 4.300.000/-✅

📍256GB || TZS 4.650.000/-✅

All Of Our Phones Come With A Full 1 Year Warranty ✅✅


☎️Whatsapp/Call : +255 622 873 709

MIKOA YOTE TUNATUMA KWA UAMINIFU MKUBWA🤝

Photos from Tuffcube's post 21/08/2022

JE WAJUA?
Mwaka 2017, Apple ilifuta sehemu ya kuonyesha battery percentage katika sehemu ya juu ya Status Bar. Sehemu ya betri, haionyeshi asilimia mpaka ku-swipe down kutazama katika Control Center.

🔋 Apple ilifuta Battery Percentage ilipoanza kutoa iPhone X kwa sababu sehemu ya juu iliwekwa “notch” (FaceID na Kamera ya Selfie). Kuanzia iPhone X mpaka sasa, watumiaji wa iPhone X mpaka 13 hawawezi kuona Battery percentage kwenye Status Bar.

📲 Mabadiliko mapya ya iOS 16 Beta 5; Apple inarudisha sehemu ya Battery percentage kwa watumiaji wa iPhone. Simu ambazo hazitakuwa na uwezo wa kuonyesha Battery percentage ni iPhone 11, iPhone 12 mini na iPhone 13 mini. Sababu za kutowekwa sehemu hiyo kwa watumiaji wa iPhone mini ni screen ndogo, lakini katika iPhone 11 wengi wamelalamika kwanini itakosa mabadiliko haya.

Kwa watumiaji wa Android, hii ni story ya kawaida sana na hakuna maajabu makubwa. Lakini kwa watumiaji wa iPhone hii inaweza kuwa ni good news kwa sababu itakuwa ni rahisi kuona asilimia ya battery bila kulazimika kutazama katika Control Center.


🔴 Namba zinaonekana kwa mbali sana, bado fonts ni ndogo na space ya kuonyesha battery percentage haitoshi katika icon ya Battery

🔴 Haionekani vizuri katika Wallpaper ambayo ina Background Nyeupe

🔴 Size ya battery haionekani tena; ukiwasha Battery Percentage, kiasi cha charge kilichobaki hakionekani na inaonekana asilimia tu. Icon ya Battery inabaki Full Charger muda wote.

🤔🤔🤔

Want your business to be the top-listed Computer & Electronics Service in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Mwenge, Dar Es Salaam
Dar Es Salaam