The Base

The Base

Share

Photos from The Base's post 11/12/2020

Watoto wazuri 💃🏾 wote chimbo lao ni moja tu... Ukiwauliza watakuwambia maana ndio only spot ambayo ukipiga picha zinakubali zenyewe... 😊 Yaani zinawakaaaa sana 🔥

Asante sana pamoja na kwa kuja... 🔥

08/12/2020

Mnaijua mizuka ya kiswahili nyie???? 🤔 😂
Sasa nawaambiaje, hakuna k**a 🙌🏾 .... K**a unabisha, njoo Jumatano hii ujionee mazagazaga ya watoto wa mjini 😋

Want your establishment to be the top-listed Bar/pub in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Makumbusho
Dar Es Salaam