Simba SC Footbal
22/07/2025
Natangaza kuwa k**a Kuna mtaalam wa kufungua Account zilizofingwa karibuni Kwa mazungumzo.
02/07/2025
Bodi ya Wakurugenzi ya Simba imekutana na Bodi ya Washauri ya kujadili mambo mbalimbali ya klabu ikiwemo tathmini ya msimu uliopita na mipango ya msimu ujao ikiwemo usajili.
01/07/2025
πππππ ππππππ ππππππ ππππππ πππππππ, πππ
πππ ππππ ππ πππππ πππ
ππππ ππππππ
Here We Goπ
Mlinda mlango wa Klabu ya Simba SC Ayoub Lakred yupo mbioni kurejea kwao Morocco baada ya mkataba wake na Wekundu wa Msimbazi kumalizika rasmi huku kukiwa hakuna dalili ya kuhuishwa Kwa mkataba huo.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya Klabu hiyo hakuna mazungumzo yoyote kati ya Simba na Lakred kuhusu kuongeza mkataba mpya hali hiyo inaashiria kuwa safari ya kipa huyo ndani ya Klabu hiyo ya Tanzania inakaribia mwisho.
Lakred alikuwa chaguo la kwanza kwenye lango la Simba misimu miwili iliyopita lakini hali ilibadilika ghafla alipoumia wakati wa maandalizi ya msimu ulioisha Nchini Misri.
Majeraha hayo yalimsababisha kukaa nje Kwa muda mrefu hali iliyowalazimu Simba kumsajili kipa wa Kimataifa kutoka Guinea Moussa Camara ambaye amemaliza msimu akiwa na clean sheet 19 rekodi Bora kabisa Kwa msimu wa 2024/2025
Β©
28/03/2025
Njia pekee ya kuonyesha namna gani tumefurahishwa na maamuzi haya ni kuujaza katika mchezo wa marudiano dhidi ya Al Masry.
28/03/2025
Kikosi cha Simba SC kimeondoka Nchini Alfajili ya leo Ijumaa kuelekea Misri tayari kwa mchezo wa robo fainali ya kombe la Shirikisho CAFCC dhidi ya Al Masry
Mchezo huo utapigwa April 02 katika dimba la Suez ndani ya Mji wa Suez.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Msimbazi
Dar Es Salaam