Aa Research for Secure Computing ltd
17/10/2019
https://youtu.be/iS_ZbcVvTUk
Umewahi kutumiwa links kwa njia ya WhatsApp, Email, n.k? Unafahamu kwamba baadhi ya links huweza kuwa na virusi (malware) hatarishi? Fahamu namna tovuti zinavyokaguliwa kuchunguza k**a zina malware.
Ukaguzi Malware Kwenye tovuti - Matumizi ya Nyenzo Kutoka AARSC LTD Katika utafiti tunaoendelea kufanya juu ya hali ya malware hapa nchini tunatumia nyenzo maalumu ambazo tumezifanyia customization hapa LTD. Nyenzo hiz...
12/08/2019
WiFi za bure (free WiFi) hutumiwa na wadukuzi kuingilia mawasiliano ya simu. Ni kwa namna gani wanadukua? Fuatilia video hii. Ushauri wangu, usiunganishe simu yako kwenye WiFi usiyoijua, hasa zile za kwenye mahoteli, shopping mall na airports
Namna Mawasiliano ya GSM yanavyoingiliwa kupitia WiFi Pamoja na faida tunayopata kupitia huduma za WiFi, tekinolojia hiyo inaweza kutumika kuingilia mawasiliano ya simu hasa k**a simu yako imejiunga kwenye Acces...
08/08/2019
Je, tunaweza kung'amua ujumbe wa WhatsApp uliofutwa na mtumaji? Siku hizi kumekuwa na tabia ya mtu kukutumia WhatsApp na baadaye akafuta ghafla. Fuatilia video hii
Namna ya Kupata WhatsApp Zilizofutwa WhatsApp ilianzisha huduma ya kufuta ujumbe uliomtumia mtu endapo utahisi umekosea au umetuma kwa bahati mbaya. Hata hivyo, kumekuwepo na Apps nyingi zinazow...
30/07/2019
Karibuni wote. Piga simu 0652587093 kwa maelezo zaidi
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Dar Es Salaam
255
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |
| Saturday | 09:00 - 17:00 |