Vic Automations Hub

Vic Automations Hub

Share

19/03/2026

K**a unapost kila siku lakini hauuzi…
ACHA KUPOST. 🚫

Hii ndiyo sababu:
👉 Post peke yake haziwezi kuuza.
👉 Followers ≠ Wateja.
👉 Hustle bila MFUMO = ni kazi bure.

Sasa, kitu kitakachokufanya uuze ni kimoja tu:
MFUMO.

Mfumo wa safari ya ufuatiliaji wa mteja,
kutoka siku ya kwanza anakuaona online,
mpaka siku anapoamua kununua kwako.

Usijidanganye na followers,
wala kupost sana bila mpango.

Nimekuandalia BLUEPRINT ya bure,
inakufunulia hatua kwa hatua
jinsi ya kuuza kwa uhakika kupitia WhatsApp.

👉 Unaitaka?
Comment “BLUEPRINT” nikutumie sasa hivi.

Rafiki yako,
Victor.
#

Want your business to be the top-listed Engineering Company in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Dar Es Salaam