Two Spoons

Two Spoons

Share

18/02/2026

Ramadhan Kareem πŸŒ™βœ¨

Make your iftaar extra special with our mouth-watering Ramadhan Buffet 🀍🍽️
Enjoy flavourful mains, delicious bitings, and hot, refreshing chai to complete your evening πŸ₯˜πŸ—β˜•
The perfect place to gather, eat, and create beautiful Ramadhan memories πŸŒ™πŸ’›

Fanya futari yako iwe ya kipekee na Ramadhan Buffet yetu tamu sana πŸ›βœ¨
Furahia main dishes zenye ladha, bitings za kuvutia, pamoja na chai ya moto ya kukamilisha jioni yako β˜•πŸ₯Ÿ
Njoo ule, ufurahie, na utengeneze kumbukumbu nzuri za Ramadhan nasi πŸ€πŸŒ™

24/01/2026

Buffet Mpya imewasili Two Spoons! 🍴πŸ”₯
Kuanzia Jumanne hadi Jumapili, saa 12 jioni kuendelea – ule mpaka ushibe wewe πŸ˜‹πŸ—πŸ₯˜πŸ₯—
Variety kibao, ladha kali na vibes za jioni πŸŒ™βœ¨
Perfect kwa familia, marafiki na foodies wote wa Dar πŸ’•
πŸŽ‰ OFa Maalum kwa sasa!
πŸ’° Bei imeshuka kutoka 27,000/= hadi 25,000/= tu!
Usikose β€” dinner yako sasa ni Two Spoons Buffet πŸ₯³

β€œTunapatikana katikati ya Upanga, Mtaa wa Longido, Nyumba Namba 18, karibu na ofisi za TAKUKURU, Dar es Salaam."

Tuwasiliane kwenye simu 0788230185 au 0752786113

Want your restaurant to be the top-listed Restaurant in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Longido Street 18
Dar Es Salaam

Opening Hours

Tuesday 17:30 - 00:00
Wednesday 17:30 - 00:00
Thursday 17:30 - 00:00
Friday 17:30 - 00:00
Saturday 17:30 - 00:00
Sunday 17:30 - 00:00