Bocca Boxing Club

Bocca Boxing Club

Share

Photos from Bocca Boxing Club's post 28/06/2024

My plan was not to fight but after losing many important things, i returned to the street. I kept having problems, so I told my uncle, 'I am ready to fight now. take me to Bocca Boxing Club I'm ready.'

Mpango wangu haukuwa kupigana lakini baada ya kupoteza vitu vingi muhimu, nilirudi mtaani. Niliendelea kuwa na matatizo, hivyo nikamwambia mjomba wangu, β€˜Niko tayari kupigana sasa. nipeleke
Niko tayari.'

29/09/2023

πŸ™
Allah azidi kubariki kazi ya mikono yangu
Allah azidi kuibariki team yangu bocca gym
Allah azidi kuibariki πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

__πŸ‘Š πŸ‘Š__
_____πŸ”₯πŸ”₯ πŸ”₯πŸ”₯____

Photos from Bocca Boxing Club's post 29/09/2023

Bocca Gym Kambi Moto!πŸ”₯VITASA FACE-OFF : brah Mafia vs Said
Abbas pambano lipo..
Ni kuelekea Usiku wa Viwango kesho Septemba 29,
LIVE

Photos from Bocca Boxing Club's post 22/04/2023

Tunatuma maombi na baraka kwa mabingwa na makocha wetu leo. Kazi Kazi!

11/04/2023

Kupumzika ni jambo muhimu na mafunzo. Ukiujali mwili wako mwili wako utakujali asante

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Dar Es Salaam