Smart Receipts

Smart Receipts

Share

28/02/2024

Printer mpya model MP48R ikiwa na mfumo wetu wa kutolea risiti za TRA kwa simu, kishikwambi au kompyuta.

Inachapa risiti za benk(CRDB, NMB) kwa mawakala wanaotumia mfumo ya benki ya kwenye simu

Inachapa picha, PDF file, nk

Ipate Leo kwa gharama nafuu na kwa mawakala wetu.

Karibu tukuhudumie piga au whatsapp +255 679 406 079.

26/10/2023

Thermal printer model P40S ipo tayari kwenye maduka yetu na ya mawakala. Imejaribiwa na kufanya kazi vizuri kwenye app yetu ya V- EFD na Mawakala wa benki. Ipate leo usimatike kidigitali kwa kutoa risiti za TRA kidigitali kwa kutumia simu janja au kumpyuta. Wahi zipo chache mno, Uliza zaidi kuhusu hii hapa +255 679 406 079

Photos from Smart Receipts's post 11/08/2023

Kwa wateja wetu wa VFD sasa tunatumia teknolojia ya Web Bluetooth ili kukuruhusu kuchapisha risiti za TRA kwenye printer bila waya kutoka kwa jukwaa lolote (Chrome, OS,Android, Mac, Linux,Windows). Hakuna usanikishaji wowote unaohitajika. Ni rahisi kutumia piga/Sms/Whatsapp +255679406079

08/08/2023

Ipate kwa bei ya punguzo ufurahie kutoa risiti kidigitali ukiwa na mfumo wa VFD utakaokuwezesha kutoa risiti za TRA sehemu na mahari popote ulipo.Tumia simu janja,kompyuta/laptop,kishikwambi au pos utoe risiti bila kikomo. Piga/Sms/Whatsapp 0679 406 079

Want your business to be the top-listed Computer & Electronics Service in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 12:00