ViwanjaFasta Page

ViwanjaFasta Page

Share

10/03/2026

KIMBIJI POTEA

New Project
🔷Km 30 kutoka kigamboni Ferry
🔷Km 3 kutoka Main road
🔷Huduma zote za Kijamii zinapatikana

Get ready for the Price

03/03/2026

Kwa nini watu wengi wanadanganywa na viwanja feki?

Watu wengi hawadanganywi kwa sababu hawana akili.
Wanadanganywa kwa sababu:

• Wanaharakisha kufanya maamuzi
• Wanavutiwa na bei ya kushangaza
• Hawafanyi uhakiki wa nyaraka

Ardhi sio biashara ya kubahatisha.
Ni maamuzi yanayoweza kuathiri maisha yako kwa miaka mingi.

Kabla hujalipa hata advance, jiulize:
👉 Nimehakiki umiliki?
👉 Nimeona nyaraka halali?
👉 Nimefanya due diligence?

K**a huna uhakika, bora kuuliza kwanza kuliko kujuta baadaye.

📩 Andika “UHakiki” tukuelekeze hatua salama.

📍 Viwanja Fasta — Nunua kwa uhakika, sio kwa bahati.

22/02/2026

🏗️ JE, UNAJUA NI MAJENGO GANI YANARUHUSIWA KWENYE KIWANJA CHAKO?

⚠️ Sio kila kiwanja kinaruhusu kila aina ya jengo.

Katika baadhi ya maeneo:
❌ Huruhusiwi kujenga ghorofa nyingi
❌ Biashara hairuhusiwi kwenye eneo la makazi
❌ Viwanda haviruhusiwi karibu na makazi
❌ Urefu wa jengo unaweza kuwa na kikomo
❌ Lazima ufuate mpangilio wa mji (zoning plan)

Viwanja Fasta inakusaidia:
🔍 Kuhakiki matumizi ya ardhi (Land Use)
📑 Kupitia ramani za mipango miji
🏢 Kupata ushauri kabla ya kuanza ujenzi
⚖️ Kufuata sheria za eneo husika

Jenga kwa uhakika, sio kwa kubahatisha.
📞 0782 252 121

Viwanja Fasta – Uwekezaji Sahihi, Bila Migogoro.

Want your business to be the top-listed Realtor/realty Service in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Gezaulole, Kigamboni
Dar Es Salaam
255