TLB
18/03/2024
Vodacom Yazindua Dawati La Huduma Kwa Wateja Wasioona.
Dar es Salaam – Januari 24, 2024. Katika jitihada za kuhakikisha inatengeneza usawa na ujumuishi wa mazingira bora ya ufikiwaji wa huduma zake na wateja wake wote nchini, kampuni ya teknolojia na mawasiliano ya Vodacom Tanzania PLC imezindua dawati la huduma kwa wateja kwa watu wenye ulemavu jijini Dar es Salaam.
https://youtu.be/j6lcLwOO-5A
18/03/2024
TLB yamteua Castor Kalemera kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama cha Wasioona Tanzania. Kabla ya uteuzi huu ndugu Castor alikuwa akihudumu k**a Mkuu wa Kitengo cha Miradi
Click here to claim your Sponsored Listing.
Contact the organization
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam
255